Waziri wa Michezo anashuhudia mkutano wa Mapokezi ya Misri kwa Kombe la Dunia kwa Elkhomasi ya kisasa

Dokta Ashraf Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo, alishuhudia hafla ya mkutano wa waandishi wa habari wa kutangaza maelezo ya michuano ya Kombe la Dunia la Elkhomasi ya kisasa inayopokewa kwa Misri wakati wa kipindi cha kuanzia Februari 26 hadi wa kwanza wa Machi ijayo kwenye viwanja vya klabu ya platinamu katika huko Kairo  mpya.


Wakati wa hotuba yake, Sobhy alionyesha fahari yake kwa kuandaa Misri hatua ya kwanza ya Kombe la Dunia la Elkhomasi ya kisasa, akiashiria kwamba nchi hiyo ilifanikiwa kutwaa michuano ya Mataifa ya Afrika kwa watu wazima kwa kuongeza Mashindano ya Vijana wa Afrika chini ya miaka 23, yanayofikisha Olimpiki karibu na Mashindano ya  Dunia kwa Silaha.


Wakati wa mkutano huo, Waziri wa Vijana na Michezo aliipongeza Kamati ya Olimpiki kwa wachezaji waliofikia hivi karibuni katika Taikondo na Silaha.


Ufunguzi wa mashindano hayo utashuhudia kuwepo kwa ujumbe kutoka Shirikisho la Kimataifa la Elkhomasi ya kisasa, likiongozwa na Rais wa Shirikisho, Katibu, na baadhi ya wanachama wa Shirikisho la Kimataifa.


Inatajwa kuwa nchi 40 zimethibitisha ushiriki wao hadi sasa, nazo ni Argentina, Austria, Belarus, Ubelgiji, Brazil, Bulgaria, Canada, Uchina, Jamhuri ya Czech, Ecuador, Ufini, Ufaransa, Georgia, Ujerumani, Uingereza, Guatemala, Hungary, Ireland, Italia, Japan, Kazakhstan, Korea, Latvia, Lithuania, Mexico, Moldova, Uholanzi, Poland, Ureno, Urusi, Afrika Kusini, Uhispania, Uswizi, Uturki, Ukraine, Uzbekistan, Amerika, Nigeria, New Zealand, na Misri "nchi ikaribishayo ". Kwa Ushiriki wa wachezaji 450, wafanyikazi wa kiufundi na kiutawala, kwa kuongeza timu kutoka Shirikisho la Mchezo la Kimataifa linalojumuisha 23 juu yao ni Klaus Schorman, Rais wa Shirikisho la Kimataifa, Makamu wa Rais, Shiny Fang, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Kimataifa.


Mashindano hayo ni kati ya mashindano yanayofikisha  Olimpiki ya Tokyo 2020,  inayoyafanya mashindano kuwa makali kwa timu yetu ya kitaifa kutokana na kukamilika kwa karibu orodha ya mwisho ya kufikia Olimpiki ya Tokyo, ambayo itatangazwa mnamo jumanne ijayo baada ya kumalizika kwa michuano ya ulimwengu kwa watu wazima, utakaofanyika huko Uchina.


Timu yetu ya kitaifa inashirikiana kwa wanaume 6 na wanawake 6, ambayo ni kiasi cha juu kinachojulikana kwa nchi mwenyeji. Nao ni "Ahmed Al Gundi, Islam Hamed, Yasser Hefny, Mohannad Tariq, na Sharif Yasser, kwa kuongeza Ali Al-Din Sharif, baada ya  kujerehiwa kwa Ahmed Ashraf wakati wa mazoezi ya upigaji wa risasi, mchezaji  Sherif Nazeer atakuwa kwenye akiba, "na wachezaji wa kike " Heidi Adel, Salma Ayman, Amira Qandil, Sundus Tariq, Noreen Boulos, Maya Mohamed, na Darain Yasser kwenye akiba. "

Comments