Waziri wa vijana na michezo anafungua mkutano wa kimataifa kwa utabibu wa kimichezo katika maktaba ya Alskandaria
- 2020-02-27 11:22:36
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo anambatana na Dokta Mostafa Al-feqi mkuu wa baraza la utawala wa maktaba ya Alskandaria na Dokta Fathi Nada mbunge na mhusika mkuu kwa kazi za kimichezo,na mkutano wa kimataifa kwa utabibu wa kimichezo(kujeruhi na kuwezesha)katika maktaba ya Alskandaria.
Sobhy ameashiria umuhimu wa yatakayojadiliwa katika mkutano huo yanayohusu Utibabu wa kimichezo na yanayoambatana na matokeo mapya na ya mwisho yaliyotokea duniani , na yaliyoonyesha maudhui nyingi mpya na tofauti,akiongeza kwamba wizara inasaidi pande zote zinazohangaika kwa ajili ya ukuaji wa michezo nchini Misri , ambapo wizara ya vijana na michezo inafanya sasa kwa kuboresha mfumo wa Utibabu wa kimichezo nchini Misri , pia amesisitizia umuhimu wa kumaliza pamoja na mapendekezo kutoka mkutano huo yanayoongeza kwa mchakato wa ukuaji ambapo wizara inaufuatia.
Sobhy ametoa shukrani kwa jukumu kubwa linalotolewa kwa chama cha shughuli za kimichezo chini ya uongozi wa Dokta Fathi Nada mhusika mkuu kwa kazi za michezo, na ukuaji ulioshuhudia huko kwenye chama katika enzi yake na juhudi zilizofanywa kwa ajili ya kufikisha na kueleza mapya yote yanayofanywa katika Utabibu wa kimichezo duniani.
Inayopasa kutajwa ni kwamba mkutano huo inajadilia mapya ya mwisho ya nadharia na kisayansi katika Utibabu wa kimichezo,na vifaa vya kisasa vinavyotumika katika uwanja wa Utibabu wa kimichezo,pamoja na semina za kujadili juu ya kozi za kimafunzo na maalumu muhimu zaidi katika uwanja wa Utibabu wa kimichezo, kama mkutano huo unakusanya duru miongoni mwake kama duru ya Utibabu wa kimichezo- duru ya mizito ya kimwili).
mkutano huo ulihudhuriwa na Dokta Safaa Al-shrif naibu wa wizara , Mkuu wa kurugenzi la vijana na michezo huko Alskandaria, Dokta Sobhy Hasanin naibu wa mkuu wa shirikisho la michezo kwa vyuo vikuu, Abullah Al-tnigi mkuu wa utawala wa Point Sport ya kiimariti, Dokta Mostafa Al-nagar mkuu wa chuo cha Matroh, na Bibi Manal Ismail mkurugenzi mkuu wa mahusiano makuu na vyombo vya habari katika kurugenzi la vijana na michezo katika mkoa wa Alskandaria.
Comments