Timu ya Misri kwa vijana na wasichana kwa Silaha iliongeza medali mpya tano kwa hesabu yake katika michuano ya Afrika kwa vijana inayofanywa hivi sasa kwa ukumbi uliofunkiwa katika chuo kikuu cha mji wa (Kep kost ) nchini Ghana kwa ushirki wa nchi 11 .
Siku ya pili ilishuhudia ushindi wa Rodena Tarek kwa nafasi ya kwanza na medali ya kidhahabu katika uzio wa upanga kwa wasichana baada ya kumshinda mwenzake Salma Tarek 9/15 katika fainali ya Kimisri na Salma anapatia medali ya kifedha ,wakati ambapo mchezaji Aya Shareif alipata medali ya kishaba .
Katika mashindano ya Silaha ya Elshish kwa vijana Mohamed Elshraqwe alihakiksha nafasi ya pili na medali ya kifedha baada ya kushindwa kwake katika mechi ya mwisho mbele ya bingwa wa Algeria 6_16 ,mchezaji Yousef Fouda alipata nafasi ya tatu na medali ya kishaba kwa mashindano yenyewe .
Hesabu ya ujumbe wa Misri unaoongozwa na mwenyekiti wa shirkisho la Silaha Abd Elmoniem Elhusenii hadi sasa iliongeza medali 14 tofauti ,kiasi kwamba ilipitwa kupatia medali tofauti tisa mnamo siku ya kwanza kwa michuano .
Comments