Misri inachukua nafasi ya kwanza ya mashindano ya nusu fainali ya kombe la dunia kwa Elkhomasi ya kisasa
- 2020-02-27 11:39:42
Nchi tatu za Misri, Mexico na Belarusi zimechukua nafasi za kwanza ya mashindano ya nusu fainali kwa wanawake yanayokaribishwa kaa Misri mnamo kipindi cha tarehe 26 hadi siku ya kwanza ya mwezi wa Machi ujao kwenye viwanja vya klabu ya platinamu katika eneo la ( Eltagamoa Elkhames ) baada ya kumalizika mashindano ya kuogelea na silaha.
Baada ya kumalizika mashindano ya kuogelea na silaha kwa kundi la kwanza, Salma Ayman mchezaji wa timu ya kitaifa ya amekuja katika nafasi ya kwanza kwa ujumla wa pointi 515, huku mchezaji Mwitalia Alles Sotero amekuja katika nafasi ya pili kwa ujumla wa pointi 494, mchezaji wa Ubelgiji Anis Aidos amechukua nafasi ya tatu kwa ujumla wa pointi 490, lakini Haidy Adel mchezaji wa timu ya kitaifa ya amepatia nafasi ya kumi na nne kwa pointi 477.
Mchezaji wa Mexico Tamara Figa amechukua nafasi ya kwanza ya mashindano ya kundi la pili kwa pointi 471, mchezaji wa Ujerumani Rebeka Langer amekuja katika nafasi ya pili kwa pointi 458, huku Franchiseka Somers amechukua nafasi ya tatu kwa pointi 451, ambapo Sondos Abo Bakr mchezaji wa timu ya kitaifa amekuja katika nafasi ya kumi na nne kwa pointi 429, pia Noreen polis amechukua nafasi ya ishirini na mbili kwa pointi 405
Mchezaji wa Belarusi Faula Selkina amechukua nafasi ya kwanza ya mashindano ya kundi la tatu kwa ujumla wa pointi 529, huku mchezaji wa Urusi Adlena Abtolena amekuja katika nafasi ya pili kwa ujumla wa pointi 523, mchezaji wa timu ya kitaifa ya Hungary Tamara Elgzavitsh amekuja katika nafasi ya tatu kwa pointi 523, lakini Amira Kandil amechukua nafasi ya sita kwa pointi 498, pia Maya Mohamed amechukua nafasi ya ishirini na tatu.
Imepangwa kuwa muda kidogo baadaye, mashindano ya laser Ren kwa makundi matatu yatafanyika ili wachezaji 36 watafikia fainali ya michuano itakayofanyika siku ya Ijumaa ijayo.
Imetajwa kuwa nchi 40 zinashiriki katika michuano hiyo nazo ni : Argentina, Austria, Belarusi, Ubelgiji, Brazil, Bulgaria, Canada, Uchina, Czech, Ecuador, Finland, Ufaransa, Georgia, Ujerumani, Uingereza, Guatemala, Hungary, Ireland, Italy, Japan, Kazakhstan, Korea, Latvia, Lithuania, Mexico, Moldova, Uholanzi, Poland, Portugal, Uturki, Ukraine, Uzbekistan, Marekani, Nigeria, New Zealand Pamoja na Misri ambayo ni nchi inayokaribisha michuano hiyo, kwa ushiriki wa idadi ya wachezaji 450 wanawake na wanaume, wafanyakazi wa kiufundi na kiidara pamoja na wafanyakazi kutoka shirikisho la kimataifa la michezo huo ambao ni watu 23 wanaongozwa na Klaus Chorman mwenyekiti wa shirikisho la kimataifa, pamoja na Bwana Shayni Fang katibu mkuu wa shirikisho la kimataifa.
Comments