Waziri wa vijana na michezo anampongeza Mohamed Tahar Zyda kwa medali ya kidhahabu kwa michuano ya tuzo kubwa kwa Upigaji uzio nchini Umoja wa Ufalme za Kiarabu (Elemarat)

Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alimpongeza mchezaji wa Mohamed Tahar Zyada  bingwa wa timu ya Misri kwa mchezo wa Uzio baada ya kuhakiksha mafanikio ya kihistoria kwa kupatia nafasi ya kwanza na medali ya kidhahabu kwa michuano ya tuzo kubwa (kombe la sheikh Khalifa bn Zayd El Nhean  mwenyekiti wa nchi ya Ufalme wa Umoja za kiarabu .


Sobhy alielekea pongezi kwa baraza la idara ya shirkisho la Uzio chini ya uongozi wa Mhandisi  Hesham Hatab mwenyekiti wa kamati ya olimpiki kwa mafanikio  makubwa haya  yaliyohakikshwa kati ya ushirki wa mabingwa wazuri zaidi katika michuano nguvu zaidi .


Waziri wa vijana na michezo alisistiza utaratibu  pamoja na kamati ya kiolompiki ya kimisri na mashirkisho yote  ya kimchezo ili kurahisisha zote kwa  mabingwa wa Misri ,kukidhi mahitaji ya kiufundi na kizoezi ili kutoa kazi nzuri katika michuano tofauti ,na kupata lakabu yake wakati wa mafanikio   yanayohakikishwa kwa michezo ya kimisri katika michezo yote .


Kombe hilo linaainishwa kama kombe la juu zaidi  ulimwenguni katika mashindano ya Uzio yanayoitwa michuano ya Nyota tano katika mafanikio  ya kihistoria kwa Uzio ya kimisri iliyoweza kuhakiksha  mafanikio  makubwa kupitia miaka jana .


Ilikuja hii katika mraba wa kufuata kwa kila mwaka kwa wachezaji Wamisri wote na ujumbe unaoshirki katika michuano tofauti ,na maandalizi yake kupitia makambi yao ya kizoezi ,na kutoa usaidizi kwa wachezaji.

Comments