Misri kushinda kwa dhahabu na fedha iliyochanganywa katika kombe la dunia Elkhomasy ya kisasa
- 2020-03-04 18:04:01
Timu ya kitaifa kushinda kwa Elkhomasi ya kisasa kwa dhahabu na fedha mashindano ya wawili waliochanganywa katika ubingwa wa kombe la dunia unaokaribishwa nchini Misri mnamo kipindi cha sasa hadi 1 machi kwenye viwanja vya platineom klabu kwa Eltagamo Elkhames.
Wawili wamisri wa pamoja Islam Hamed na Haidy Adel walishinda medali ya dhahabu baada ya kuongoza mashindano ya mwisho kwa alama 1458 na wawili wa Misri Ahmed ElGendy na Salma Ayman walipata medali ya fedha na nafasi ya pili na jumla ya alama 1448 na nafasi ya tatu korea kusini sano kim na jinhua jung na ikashinda medali ya shaba kwa jumla ya alama 1445 .
Sherehe za medali zilishuhudiwa na Klaus Chorman wa Ujerumani rais wa shirikisho la kimataifa la Elkhomasi ya kisasa , Shayne Vang katibu mkuu wa shirikisho la kimataifa , Sherif Al Erian Rais wa shirikisho la kimisri na katibu wa kamati ya olimpiki, Hassan Moustafa Rais wa shirikisho la kimataifa kwa mpira la mikono, Hassan Moustafa Rais wa kamati wakurugenzi ya kalbu ya zamani ya Al Ahly , Hashim Yassin mkurugenzi mtendaji wa shirikisho na Aya Madani mwanachama wa kamati ya michezo kwa shirikisho la kimataifa na bingwa wa kimisri.
Inapaswa kutaja kwamba kuna nchi 40 ilishiriki katika Michuano : Argentina , Austria , BellaRussia , Ubelgjii , Brazil, Bulgaria, Canada, Uchina ,Chiik, Elcuador, Fnlanda, Ufaransa , Jorgia, Ujerumani , Uingereza, Guatemala, Magr , Ireland, Italia, Japan, Kazakhstan, Korea, Latvia, Lituania, Mexico, Moldova, uholanzi, Poland, Ureno, Urusi, Afrika kusini , Uhispania, Uswizi, Uturuki, Ukrania , Uzbekistan, Marekani ,Nigeria,New zlanda na Misri “nchi mwenyeji “ na ushiriki wa wachezaji 450 na wafanyakazi wa kiufundi na utawala na wafanyakazi wa shirikisho la kimataifa kwa mchezo inajumuisha kutoka wanachama 23 inaongozwa Klaus Churman rais wa shirikisho la kimataifa , naibu wa Rais , Shiny fang katibu mkuu la shirikisho la kimataifa.
Comments