Mawaziri wawili wa vijana na biashara wanakutana na vijana wenye makampuni ya sekta binafsi

Dokta Ashraf  Sobhy  waziri wa vijana na michezo alikutana na Dokta  Neveen Gamee waziri wa Biashara na viwanda na  Rais Mtendaji wa mamlaka ya maendeleo ya miradi ya kati, midogo na midogo sana pamoja na kikundi cha vijana wenye makampuni ya sekta binafsi na yanayotarajia kufungua matawi mapya ambapo vijana wanayaendesha wenyewe  kupitia kuwapa mikopo ili kuanza kutekeleza miradi 


Na wakati wa mkutano Dokta  Ashraf Sobhy  alisisitiza kwamba wizara wa vijana ni Mshiriki wa msingi pamoja na vijana katika nyanja mbalimbali ili kutekeleza maoni yao ya mustakabali na yanayotegemea kutoa misaada yote ili miradi na shughuli zao zihakikishe. 


Waziri wa vijana na michezo kupitia mkutano aliashiria kufungua ofisi kwa vijana wenye makampuni ya sekta binafsi katika vituo vya vijana na Mashirika ya vijana mikoani ili kuweza kutoa huduma zao mbalimbali kupitia wizara ya vijana na michezo 


Na hivyo ilikuja miongoni mwa jukumu ambalo wizara ya vijana na michezo inalitoa katika nyanja na shughuli nyingi za vijana na kupitia jukumu muhimu ambalo wizara inalifanya ili kukidhi mahitaji ya vijana 


Kutoka upande wake , Dokta  Neveen Gamee waziri wa Biashara na Viwanda alisisitiza kwamba wizara ya vijana na michezo ni mshiriki wa msingi pamoja na Mamlaka ya Maendeleo ya miradi midogo na midogo sana

ambapo mamlaka  yanaelekea uwezo wake katika kusaidia nyanja na kutafutia nyanja mpya ili kufanya miradi midogo na kutoa nafasi mpya za kazi kwa vijana 


Mkutano ulijumuisha makampuni ya kutayarisha ofisi ,  Duka  , mashirika ya  Maandalizi ya dawa, makampuni ya  bidhaa za chakula , Migahawa na vinywaji .

Comments