Kamati ya idara ya shirikisho la Misri kwa Soka chini ya uongozi wa Amr El-Ganayni ilikubali kushiriki Kwenye ubingwa wa ulimwengu ( FIFA 2020 ) uliotarajiwa kufanyika mji mkuu wa Denmark , Copenhagen .
Michuano hufanyika mnamo kipindi cha 22 mpaka 24 Mei ijayo , chini ya usimamizi wa shirikisho la kimataifa kwa Soka.
Inatarajiwa shirikisho la kimisri linapanga fainali kwa ajili ya kuchagua nani atakayeiwakilisha Misri kwenye Michuano.
Comments