Mpango wa kimisri inayofanya kazi kwa kujihusisha wanafunzi wa Sudan katika jamii ya kimisri inashinda kwa nafasi ya pili katika shindano la Ashoka kwa ulimwengu ya kiarabu
- 2020-03-05 21:39:29
Mpango wa Wanas ulioanzishwa na Bibi Amira El_masri ,na mpango huu inafanya kazi ya kuchanganya na kuwezesha watoto wa Sudan ndani ya jamii ya kimisri kupitia Sanaa.
Amira El-masri (mwenye miaka 20) mwanaharakati wa kijamii katika uwanja wa maendeleo.amezaliwa mjini wa Aleskandaria anasoma katika kitivo cha uchumi na sayansi za kisiasa sehemu ya uchumi - tawi la lugha ya kingereza . pamoja na shughuli zake za kijamii ,yeye pia amejitoa kama mwongozi wa kiutalii katika maktaba ya Aleskandaria.
Amira anapenda sana kuchora na rangi,kama tangu utoto wake alikuwa na ndoto ya kujiunga kitivo cha Sanaa nzuri, ameshiriki katika maonyesho na mashindano ya kimataifa na ameshinda nafasi kadhaa , lakini amependeza kutumia Sanaa kwa uhuru na kuichanganya na maendeleo ya kijamii kwa imani yake kwa maendeleo ya kijamii, kwa hivyo amewaza katika utumiaji wa Sanaa ili kutoa kuunga mkono kwa watoto wa Sudan wanaoishi hapa nchini Misri .
Ameanzisha mpango huo wa Wanas kwa ushirikiano na chuo kikuu cha Marekani mjini Kairo kwa ajili kujihusisha na kuwawezesha watoto wa Sudan katika jamii ya kimisri na kuimarisha utamaduni wa mahujiano na maadili ya kukubali mwengine na huishi katika Amani , kupitia kutoa warsha ya kisanaa inakusanya kuchora na fumo za kisanaa, mchakata wa kurekebisha, kucheza ngoma , mchezo wa kiigiza, inayohangaika kupitia kwake kukuza viunganishi vya kijamii na kiutamaduni kati ya watoto wamisri na wasudan. Naye anapanga sasa kutekeleza mpango kwa njia pana.
Pamoja na hivyo, yeye ni mwanachama katika mradi wa kupungu ghasia dhidi ya mwanamke na mamlaka ya Kir ya kimataifa na mwanafunzi katika programu ya kutayarisha wakufunzi wa maendeleo ya kijamii katika wizara ya vijana na michezo, kwa mradi wa elimu kwa wakimbizi na wahamia na jamii mwenyejj kwenye mamlaka ya Kir ya kimataifa.
Amezoea pamoja na zaidi ya upande mmoja, miongoni mwao ni kituo cha Johan Dokta Gerhart katika chuo kikuu cha Marekani mjini Kairo katika programu ya Khatwa, kama amejiunga katika programu ya mafundisho kwa ajili ya ushirikiano na chuo ya kidenimarki ya kimisri kwa mazungumzo. na ameshiriki kama mkuu wa kamati ya ufanisi yanayoambatana kwa fomu kamili ya kuiga kwa chuo kikuu cha nchi za kiarabu, na naibu kwa timu kwa ushirikiano wa kijamii katika fumo ya kuiga baraza ya ndani ya kimisri.
Mwishoni ameshiriki katika shindano la "Youngchangmakers" pamoja na Ashoka ya ulimwengu ya kiarabu, shindano hili linaangazia mwanga kwa mawazo ya mipango ya wasichana kati ya umri wa 16 na 21, na amechaguliwa miongoni mwa washiriki 70 ili kushinda kwa nafasi ya pili katika shindano na alipata ufadhili kwa paundi za kimisri 15,000 kwa mpango wake inayofanya kwa kuchanganya watoto wakimbizi katika jamii ya kimisri kupitia Sanaa.
Na mpango wa Wanas unafanya kazi pia katika vituo tofauti mjini Aleskandaria. Na Wanas umeanzisha katika muhula wa pili katika vituo vya (Ashrab El yamam) ya elimu ili kutoa warsha za kisanaa na programu za kuzoea juu ya changamoto zinazokabili watoto katika jamii zao. na programu hizi zitatoa katika warsha za kufanyakazi kwa vituo tofauti vya jamii .
Pamoja na hayo yote , mpango wa Wanas umeshiriki na shiriki la kuokoa Utoto nchini Misri katika mradi wa kuboresha njia za kuishi na kuendelea vijana mjini mwa Alskandaria na umetekeleza warsha sita kwa zaidi ya watoto 80 katika maeneo tofauti mjini Aleskandaria .
Comments