Waziri wa vijana na michezo anampokea mwanamke mmisri wa kwanza anayepanda mlima wa Al-Pros nchini urusi
- 2020-03-11 17:12:49
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo anampokea Norhan Rfaai , mwanamke mmisri wa kwanza anayepanda kilele cha juu cha milima wa ulaya "kilele cha mlima wa Brols nchini Urusi na ulioainishwa miongoni mwa vilele saba vya juu ulimwenguni.
Katika mkutano, Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo amesifu uwezo wa Norhan Refaai na ujasiri wake katika kufanya shughuli hii, inayozingatiwa moja ya shughuli za kimichezo na kiutalii zenye umuhimu zaidi.
Akiongeza kwamba wizara ya vijana na michezo inafuata maandalizi na utayari wa Noyrhan ili kupanda kilele cha juu ya milima ulimwenguni " kilele cha Evrest" akiashiria kuwa wizara ya vijana na michezo inasimama pamoja na vijana na inawahimiza kwa ajili ya kuinua bendera ya Misri katika sherehe tofauti za kimataifa.
Wakati wa mkutano, Waziri wa vijana na michezo ametoa uzinduzi wa wizara ya vijana na michezo kwa mpango wa kuelimisha na kuzoeza vijana wamisri kwa mchezo wa kupanda milima, akiashiria kwa mchezo wa kupanda milima yenye sifa za kipekee , wizara ya vijana na michezo kupitia mpango wake kwa kuinua viwango vya uzima wa miwili na Afya kuu kwa vijana wamisri , na kuongeza maarifa ya vijana kwa maeneo ya kupambanuka ndani ya misri kama milolongo ya milima ya Sant Catren, njia za bahari nyekundu, njia za Sinai, na kadhalika kama maeneo ambapo tunaweza kufanya mazoezi ya kupanda milima naye.
و
Comments