Abd Al-aziz Mhelph ashinda nafasi ya kufikia olimpiki ya Tokyo katika mchezo wa sahani za shimo
- 2020-03-15 14:31:03
Mtoaji Abd Al-aziz Mhelph alishinda nafasi ya kufikia olimpiki ya Tokyo mwaka wa 2020 katika mashindano ya sahani za shimo baada ya kuhakiksha nafasi ya saba katika kombe la dunia nchini Kopros .
Ushindi wa Mhelph unakuja kwa nafasi ya kufikia pamoja na jina lake kwa Tokyo mwaka wa 2020 akishinda mwenzake Ahmed Kamr kwa mujubu kwa michuano minne ya mwisho kama iliyoainishwa kwa shirkisho la kimisri kwa michezo kwa ushindi wa nafasi ya Elkota iliyopatwa na mchezaji katika michuano ya kiafrika nchini Algeria hivi karbuni .
Kwa hivyo Mhylph alifainka katika kufikia Tokyo kwa kikao cha pili ya olimpiki mfululizo .
Magy Ashmwe mchezaji wa timu ya kitaifa kwa shuti alihakikisha nafasi ya tisa katika mashindano ya kombe la dunia nchini Kopros kwa mashindano ya Mchanga kwa sahani 113,ili kufanika kupata kadi ya kufikia olimpiki ya Tokyo mwaka wa 2020 dhidi ya mwenzake Suzan Gabar .
Mchezaji Magy Ashmwe alipatia kadi ya kufikia kabla ya kupata medali ya dhahabu ya sahani ya shimo katika mashindano ya michuano ya kiafrika kwa shuti iliofanyawa nchini Algeria wakati wa mwezi wa Novemba iliyopita ,ila kuwa shirkisho la shuti lilifanya mfumo rasmi ili kushinda jina la mchezaji anayepanda kwa mujubu matekeo bora zaidi kwa kiwango cha juu michuano mitatu ifutayo ikiwemo kombe la dunia na michuano ya kiarabu iliyomalizikwa nchini Misri hivi karbuni .
Kwa upande wake Hazam Hossny mwenyekiti wa shirkisho la shuti alitangaza ushindi wa Magy Ashmwe katika mfumo wa ushindi kwa jina la nafasi ya Mchanga ili kushirki katika olimpiki ya Tokyo mwaka wa 2020 .
Timu ya kimisri kwa shuti ilihakiksha nafasi ya kwanza na utaratibu mkuu kwa michuano ya kumi na tano ya kiarabu kwa shuti ,ambapo shughuli zake zilifanyawa nchini Misri kwenye nyanja za klabu ya El Remaya na klabu ya El Sed 6 Oktoba ,kwa ushirki wa wachezaji wa shuti wa mia nne kutoka nchi 14 .
Mafarao wa shuti walishinda nafasi ya kwanza baada ya kuhakiksha medali tofauti 53 ,kama medali ya 19 kidhahabu , 17 kifedha na 17 shaba .
Comments