Mohammad El-shorbagy anashinda michuano ya Kanari Klasiki kwa skowashi na kudhamini mwanzo wa uainishaji
- 2020-03-15 15:56:18
Mohammad El- shorbagy , aliyeainishwa wa kwanza wa kimataifa kwa wanaume wa skowashi , alishinda michuano ya Kanari Klasiki kwa wanaume wa Boga, iliyofanywa huko london,mnamo kipindi cha siku ya 8 hadi 13 mwezi wa machi huo huo.
Mohamed El-shorbagy katika mechi ya fainali nameshinda mwenzake Ali Farag mchezaji wa klabu ya Wadi Degla na aliyeainishwa wa pili ulimwenguni kwa wanaume wa Boga na mwenye lakabu ya michuano kwa toleo lililopita.
Na El-shorbgy ameshinda kwa 3/1 katika mechi iliyoendelea kwa dakika 79 na tija za mechi zilikuja kama zifuatazo: 11-8,12-10,6-11,13-15.
Na kwa ushinda huu Mohamed El-shorbagy anadhamini mwanzo wa uainishaji wa kimataifa kwa Boga ,baada ya mchezaji Ali Farag ameshakaribisha tofauti ya nukta baada ya kushinda michuano ya Windi city hivi karibuni.
Tangu ya kuzundua msimu huo mnamo mwezi wa Septemba uliopita Misri imetawala vyeo vikubwa, na Mohamed El_shorbagy na Nour El-taib wameshinda michuano wazi ya kwanza nchini Uchina , kama El-Shorbagi na Ranim El-waily wameshinda michuano ya San fransisko, na Ali Farag na Noran wameshinda Michuano wazi ya Marekani,kisha Karim Abd El Gawad ameshinda michuano ya Misri ya kimataifa iliyofanywa chini ya piramidi na chanal faz, na Nour El-shirbini ameshinda michuano ya ulimwengu kwa mara ya pili mfululizo , na mara ya nne katika historia yake ,na Tarek Moamen ameshinda michuano ya dunia ya umoja na pamoja na timu,pia Mohamed El-shorbagi ameshinda michuano ya Gi bi Morgan kama ubingwa wa kwanza wa Platinum katika mwaka huo , na Nouran Gawhar ameshinda cheo cha michuano ya karwl Wimolar.
Pia Karim Abd El -Gawad mchezaji wa klabu ya Al-Ahly na aliyeainishwa wa nne ulimwenguni kwa wanaume wa Boga, amepata michuano ya Idenbirg iliyofanywa nchini Iskotlanda mwezibwa Februari huo huo ,ili kushinda cheo chake cha tatu baada ya ameshinda michuano miwili ya Misri yakimataifa na Charlez Faz,kama Nour El-taib aliyaainishwa wa tano ulimwenguni na mchezaji wa Hliuoplis ameshinda michuano ya Kilifland Klasiki kwa wanawake kwa skowashi ili kushinda cheo chake cha pili tangu kuzindua msimu huo,kama Tarek Moaamen ameshinda kombe la Canda na mwishoni Ali Farag na Nour El-sherbini wameshinda michuano ya Windi City.
Comments