Waziri wa Michezo anakaribisha Uongozi wa kisiasa na wananchi wamisri kwa kushinda timu ya Zamalek kwa Kombe la Konfedralia ya kiafrika.

Dokta Ashraf Sobhi, Waziri wa Vijana na Michezo Aliwapongeza, Mheshimiwa Rais Abdel Fattah Sisi Rais wa Jamhuri, na Dokta Mustafa Madbouli Waziri Mkuu, kwa kushinda timu ya Zamalek  kwa kombe la Konfedralia  kwa mara ya kwanza katika historia yake  baada ya kuwashinda timu ya kimoroko Nahdat Burkan kwa  penalti alama 3 – 5,  pia Waziri wa Vijana na Michezo Aliwapongeza Rais na wajumbe wa Bodi ya wanachama wa  timu ya Zamalek na mashabiki wa soka la Misri, ambao wote wamesimama nyuma ya klabu ya Zamalek, Akiwasifu kwa faraja na mfano wa dhamira ya watu Ndani ya bima ya uwanja wa  Borg El Arab katika dakika 90 nzima. Inatajwa kwamba Timu ya Zamalek imefikia mwisho wa Kombe la Konfedralia  dhidi ya  timu ya Nahdat Burkan, ambapo mechi ya kwanza ilimaliza kwa goli moja bila ya  lolote  kwa timu ya Nahdet Burkan. Mechi ya kurudi ilimalizika na matokeo sawa kwa timu ya Zamalek kupitia mchezaji  Mahmoud Alaa. Na kulingana na misingi ya michuano timu mbili huelekea penalti ambazo zilikuwa kwa upande wa  timu ya Zamalek  mwishoni.A

Comments