Daktari mmisri anachangia katika kukuza upimaji wa "Corona" nchini Marekani

Chuo kikuu cha Jons Hobkenz ya kimarekani kimekuza upimaji wa virusi  vya Corona  Covid 19,  unaoruhusu  upimaji  wa watu elfu moja kila siku, jambo  litakalopunguza shida kwa mabaara, na unaweza kugundua idadi kubwa zaidi kutoka wagonjwa ulimwenguni, na  chuo kikuu kilionyesha  kwamba kuna wataalamu wawili katika Biolojia wamefanya kazi ya  kukuza  upimaji huo, na miongoni mwao ni  Daktari mmisri Heba Mostafa.

Kulingana na tovuti ya Gonz Hobkenz Daktari Karn Karol na mmisri Heba Mostafa wameboresha upimaji wa virusi pamoja na kutabirika kwa kuongeza idadi ya maambukizi wiki zijazo.


Na Heba Mostafa anafanya kazi kama  msaidizi mkuu na mtaalamu katika sayansi ya Maradhi (Batholoji) chuo kikuu cha Jonz Hobkez naye ni mhitimu wa chuo kikuu cha Utibabu cha Aleskandaria mwaka 2004, amepata kwa cheti cha uzamivu katika Mikrobiologia(sayansi ya biolojia yenye kina) kutoka chuo kikuu cha Kanses mwaka 2014.


Na Heba "mkuu wa mabaara ya virusi  hospetalini mwa chuo kikuu cha Gonz Hobkenz " amesema kwamba "jambo hilo litaruhusu kwa kudhibiti kutambua wagonjwa zaidi na tunaweza  kuainisha wagonjwa zaidi" .na chuo kikuu kimetumia upimaji  unaotegemea kwa kuchukua sampuli kutoka mate ya pua na mdomo kwa mara ya kwanza mnamo tarehe ya 11, Machi huo huo na karibu na upimaji 85  zilifanyikwa mnamo  siku tatu za kwanza.


Na Daktari Heba Mostafa amesema kwamba " inatarajia kuongeza ufahamu wa kufanya upimaji kwa kasi ili kufikia watu 180 kila siku katika wiki ujao na watu 500 katika wiki ifuatayo na tunaweza kufanya upimaji 1000 kila siku kwa kufikia mwezi  ujao wa Aprili" na akiongeza kwamba kufanya upimaji wa ndani utapunguza mzito kwa mabaara ya serekali, na matokeo ya upimaji yanatayarisha takriban mnamo masaa 24 , na madaktari wanasema kuwa wanatarajia kufupisha muda huo wa upimaji kwa masaa 3.

Mnamo mwezi wa  Februari uliopita , idara ya chakula na dawa ya marekani  imeanza kuruhusu kwa vituo vya kimatibabu kwa kukuza upimaji zake maalumu . na Heba anasema kukuza upimaji halijakuwa jambo gumu sana lakini sehemu ngumu zaidi ni  kupata mada za Ginomia ya virusi inavyolazimisha katika kufanya upimaji. Na ameongeza " wakati  tunapopata tunachokihitajika ,tumeweza kufanya upimaji mnamo muda mfupi".

Comments