Vyombo vya habari vya kimarekani vinasifu Daktari mmisri kwa (shujaa )

(Shujaa wa  leo ) ...Gazati la (Newyourk Post ) lilichagua kueleza  heshima yake kwa juhudi  zinazotolewa na Daktari mmisri Nermen Potros  "Mwenyekiti wa madaktari wanaofanya kazi katika kituo cha matibabu kwa hospitali ya  Brokdel ya kitivo mjini Bronzofel ya marekani ,katika kupambana na  virusi vya Corona .kwa zaidi ya masaa 80  kila wiki  ambapo Nermin anakaa muda huo katika hospitali katika eneo la  Broklen ,ili kutibu wanaoambukizwa kwa virusi  vya Corona  mjini na kutosheleza usadizi lazima kwa wenzake katika kazi , lakini kazi yake haimaliziki anaporudi  nyumbani , bali yeye anaendelea kagika mawasiliano kamili mnamo masaa 24 na pamoja na  madaktari wanaofanya chini ya usamamzi wake ,kiasi kwamba wengi wao wanahitaji kwa mtazamo wengine au shauri kuhusu jinsi kutendea pamoja na waathirika wa Corona ,Nermen anasema kwa gazati kuwa  baadhi ya madaktari tu wanaokuwa na  hofu .


Gazati lilinakili inayohusu Daktari mmisri  na kauli yake kuwa mawasiliano  aliyoyapata na wanaofanya mazoezi  na madaktari katika nyakati za usiku sana (hayahusiani tu  kwa maelezo ya kimatibabu ,lakini kwani hii hi hali mpya  kwao ,kwa hivyo  madaktari wengi  wanahofu kutoka maradhi ,wanahofu kutoka kifo ),aliongeza :(kila kitu hapa ni kipya ,mpango wa idara ni mpya ,maradhi na virusi ni vipya ,hakuna mtu anayejua timamu asili ya virusi hivi mpaka sasa ,kwa hivyo watu  wote wana maswali na kazi yangu hapa kuwa kupatikana kwao ili kujibu maswali , kuwasaidia na kuwaunga mkono  ).


Daktari mmisri alitaja kuwa  mgonjwa wa  kwanza kwa virusi (Covid _19 ) alipofikia  hospitali tangu wiki mbili ,hali ilikuwa kali sana , na alieleza :(hatukujua hata mchakato wa kupima sahihi kwa wagonjwa  ,mchakato wa kuwatenganisha , hata jinsi ya kutendea pamoja na wao wanaopimwa ).

Daktari aliashiria kuwa madaktari  wengi wanaofanya kazi mwanzoni hawakutaka  kufanya mchakato wa kupima (Covid _19) kwa wenywe ,kwa hivyo alichukua idara ya kufanya upimaji kwa wagonjwa wanaotarajiwa  kupatwa kwao mpaka madaktari wengine wanakuwa wakiandaa kufanya hii ,akisistiza kuwa (kuona  mgonjwa anaimarisha hakukadiriwa kwa thamani yoyote ).

Potros alimalizika maelezo yake akisema :(kuona mgonjwa anaimarisha hakukadiriwa kwa thamani yoyote .

Comments