Waziri wa vijana anatafuta pamoja na Elbitar na Batisha kuendeleza kwa idhaa ya vijana wa Misri

Katika mfumo wa uzinduzi na ubadilishaji wa shughuli nyingi za wizara wa vijana na michezo ili kuzitengeneza kwake kupitia njia za kielektroniki na katika upande wa shughuli za kuendeleza njia ya utangazaji na idhaa ya shughuli na miradi ya wizara , Dokta Ashraf  Sobhy waziri wa vijana na michezo asubuhi ya leo alikutana na maafisa wengine wa idhaa ya kimisri nao ni Bwana Kamel Elbitar na Omar Batisha na hivyo ili kutafuta na kujadili njia za kuendeleza ramani ya mipango ya idhaa ya vijana wa Misri ambayo wizara inaizindua tangu siku chache kupitia lango la wizara ya vijana na michezo na mpango wake wa idhaa utajumuisha kuendeleza programu na mashindano mengi ya kiutamaduni , ya kisanaa na ya kimchezo mnamo siku zijazo .

Mkutano ulijumuisha kueleza mawazo mapya mengi ya idhaa ambayo idhaa ya vijana wa Misri itayatangaza na miongoni mwake  ni programu za vijana , za kitamaduni , za kisanaa, za kimichezo na programu za mipango ya kijamii pamoja na programu za urithi wa kimisri wa mchezo , utamaduni na wa fani na programu nyingine ya burudani .

Na inaamuliwa kwamba waziri wa vijana ataendelea mikutano yake na maafisa wa idhaa ya kimisri na miongoni mwao Fahmy Omar na Hamdy Elkanisy ili kukamilisha mpango wa idhaa ya vijana wa Misri na kuiunganisha kwake na maafisa wa idhaa ya kimisri Katika nyanja tofauti .

Comments