Jumatatu , tume ya Shirikisho la Soka la kiafrika (KAF) ilitembelea uwanja wa Aleksandria ili kufuatilia maendeleo ya uwanja baada ya kukamilisha.
Mnamo ziara ya ujumbe
huo unaokusanya kundi la pili kwenye
Aleskandria uliambatana na Mohamed Fadl, mkurugenzi wa michuano ya Kombe la
Mataifa, na Amer Hussein, kiongozi wa kikundi, pamoja na Sherif Saad,
mkurugenzi wa uwanja wa Aleskandria.
Ujumbe wa Umoja wa kiafrika na Kamati iandaayo zilitembelea
uwanja wa Aleskandria, ambao ulikamilishwa kwa maendeleo makubwa, pamoja na
viwanja vya mafunzo katika uwanja wa chuo kikuu cha Aleksandria na klabu ya Al
Ittihad ya kialeskandria.
Ujumbe wa KAF ulijaa kuridhika kikamilifu na maendeleo ya jumla ya uwanja na
viwanja vya mafunzo, ukisisitiza kuwa uwanja wa Aleskandria ni tofauti sana
baada ya maendeleo haya.
Comments