Hany Abu Reda, rais wa Shirikisho la Soka la kimisri na
mwenyekiti wa Kamati iandaayo
michuano ya Afrika 2019
alisindikiza Ahmed Ahmed, rais wa Shirikisho la Soka la kiafrika
Katika ziara ya ukaguzi wa uwanja wa kimataifa wa
kairo,na kufuatia shughuli za maendeleo
na maandalizi kwa mwanzo wa michuano.
Wanaoshiriki katika ziara hiyo ni Idris Akki, Mwenyekiti wa
kampuni ya kudhamini ya Shirikisho la Soka la kiafrika, na Mohammed Kamel,
Mwenyekiti wa Kamati ya uenezaji wa Michuano, pamoja nao Ahmed Mujahid, Mratibu Mkuu wa Michuano.
Ujumbe ulitafutia shughuli za maendeleo na vifaa ndani na nje ya uwanja,
baada ya uwanja huo kuwa bora zaidi katika Kairo na tayari kupokea michuano.
Ahmed Ahmed, na Mwenyekiti wa kampuni ya kudhamini ya
Shirikisho la Soka la kiafrika, alisifu kazi za uwanja wa kairo na maendeleo ya
haraka na yanayoonekana ya Kamati iandaayo ili kukamilisha kazi hiyo na
kuimarisha uwanja huo kwa haraka sana katika maandalizi ya michuano ya bara.
Comments