"Shirikisho la kimataifa kwa mieleka linatangaza miadi ya michuano zinazofikisha Olimpiki ya Tokyo "
- 2020-04-09 17:01:36
shirikisho la kimataifa kwa mieleka limechukua maamuzi muhimu yanayohusiana na michuano za kipindi kijacho na pia michuano zinazofikisha Olimiki ya Tokyo 2021 .
Miongoni mwa maamuzi ya shirikisho la kimataifa yanayochukuliwa na ofisi wa utendaji kwamba michuano zinazofikisha Tokyo zitafanyiwa katika muda wake ulioidhinishwa lakini mnamo mwaka 2021, pamoja na kusitisha na kuahirisha michuano ya kimataifa yoyote mpaka tarehe 30 mwezi wa Juni ujao . vilevile , Congeras itafanyika mnamo mwezi wa Septemba ujao ,pembezoni mwa michuano ya dunia kwa vijana .
Mkuu wa shirikisho la kimataifa alichapisha video kwenye ukurasa wa mtandao wa shirikisho akituma ujumbe kwa mashirikisho yote ya kitaifa na kuwaomba kusitisha shughuli zote za ndni kwa lengo la kuilinda Afya ya wachezaji wake na alisema katika video kuwa shirikisho linafanya juu na chini ili kurudisha mashindano tena lakini hekima na ujasiri ni ndio kukaa wote nyumbani .
"Abdellatef Mani " mchezaji wa timu ya kitaifa kwa mieleka alifikia nafasi ya pili katika uainishaji wa shirikisho la kimataifa kwa mwelekea ulimwenguni mnamo mwezi wa Machi kwa uzito wa120 k.gm, mchezaji mturuki " Kya alb" alifikia nafasi ya kwanza , " Benu Hinds " kutoka Koba alifikia nafasi ya tatu na nafasi ya nne mchezaji fenzewela Berez Herberg .
Vilevile , mchezaji Muhamed Ibrahim Kesho mchezaji wa timu ya kitaifa na anayefikia olimpiki ya Tokyo alichukua nafasi ya nne katika mashindano ya uzito 67k.m na katika uzito huo huo , mchezaji wa koba alifikia nafasi ya kwanza akamfuatilia mchezaji wa urusi kisha Serbia na Kecho kwa nafasi ya nne .
Kesho ni mchezaji wa mieleka wa kipekee aliyefikia olimpiki ya Tokyo baada ya kuchukua nafasi ya tano katika michuano ya dunia iliyofanyiwa mnamo mwezi wa Novemba uliopita .
Comments