Rais Mtendaji wa mji wa Zewail: Tunatafutia suluhisho kwa mgogoro wa Virusi vya Corona

 Dokta Sherif Sedky, Rais Mtendaji wa mji wa  Zewail , alisema kuwa mji huo unatafutia suluhisho kwa mgogoro wa virusi vya Corona, akiashiria kuwa watafiti wengine waliweza kuboresha kifaa cha nusu kiwambo wakati wa usafirishaji wake katika msaada wa kwanza hadi kufikia hospitali, na kifaa hiki kilitengenezwa kikamilifu ndani ya mji, nacho ni chenye  faida  Kwa hali ya kusubiri kwa muda mrefu, inaweza kutumika na uuguzi.


 "Sedky"wakati wa mazungumzo yake na kipindi cha "kwa karatasi na kalamu", kinachotolewa na mtangazaji Nashat Al-Daihi kwenye Spuntiki ya "TEN", leo, Jumatatu,  aliongeza kwamba toleo la pili kutoka kifaa hicho ni  zuri zidi, linaruhusu uwezekano wa  kujitenga vuta pumzi kutoka  kutoa pumuzi, na hutumiwa kwa mgonjwa kufufua upya mapafu kwa wagonjwa  wa Maumivu makali kwa mapafu, wakati ambapo toleo la tatu ni gumu na linatumika ndani ya chumba cha mahututi  , nacho ni  maendeleo ya toleo la  Chuo Kikuu cha Illinoi, na muundo huo utabadilishwa na kurekebishwa kuwa uwezo wa kawaida wa 100% kwa ajili ya kupunguza gharama yake.


 Alisisitiza kwamba kazi juu ya mgogoro hii ilianza  pamoja na kuonekana virusi vya Corona, akiashiria kuwa majanga hayawezi kutarajiwa , lakini kuna makada wanaowezesha katika vituo vya utafiti zinaweza kufikia suluhisho la mgogoro ule , akisisitiza umuhimu la maelewano kati ya viwanda na vituo vya utafiti ili kutaifisha viwanda ndani ya Misri, akiashiria kuwa  Kuna pengo kubwa kati ya viwanda na utafiti ya kisayansi nchini Misri .


 Al-Daihi alitembelea mji wa Zewail ili kuzungumza na timu za utafiti waliobuni mifano ya uingizaji hewa juu ya wazo la muundo na maendeleo yao, na matumizi ya kila kifaa peke yake.

Comments