Kufutwa kombe la mabingwa wa kimataifa kwa sababu ya "Corona"

Shirika miliki  la uuzaji  kwa kombe la mabingwa wa kimataifa kwa mpira wa miguu lilitangaza kufutwa toleo la mwaka huu kwa michuano ya kirafiki kwa sababu ya  virusi vya Corona .


Danel Seliman  mkurugenzi mtendaji kwa shirika la "Relevant Sports " katika taarifa ya siku ya Ijumaa, alisema kwamba "kukosekana wazi kuhusu wakati wa kuondoa vikwazo vya taratibu za  kuweka nafasi za kijamii na utata kuhusu mpira wa miguu kulisababisha kutokuwepo uwezekano wa kufanya michuano".


Aliangalia michuano  kadhaa ya  ligi huko Ulaya inayosimamishwa kisasa pamoja na ligi ya mabingwa kwa kutimiza msimu wa mwaka huo.


Kombe la mabingwa lilizindua mnamo 2013 na mechi zinachezwa kati ya mwezi wa Julai na Agosti huko Marekani na nchi zingine .


Michuano inajumuisha klabu mshahuri zaidi za kizungu na mechi zinavutia idadi mkubwa kutoka mashabiki kiasi kwamba elfu 109 walishuhudia mechi ya Rayal Madred na Manchestar United katika Meshegan mwaka wa 2014 .


 Lakini Gazeti la Newyork Times lilitaja  mnamo mwanzo wa mwaka huo kuwa kombe la mabingwa halikutoa faida kwa wamiliki jambo  linalotisha maendeleo yake.

Comments