Baraza la Shirikisho la kimataifa linaamua kuweka marekebisho mapya katika sheria ya Soka
- 2020-04-12 15:33:09
Baraza la shirikisho la kimataifa la soka (IFAB) liliamua kuweka marekebisho mapya katika sheria ya Soka yatakayotekelezwa kuanzia msimu ujao na Baraza lilizipa duru uhuru wa kutekeleza mabadiliko katika msimu huu wakati wa kuanzia kwake au kuyatekeleza katika msimu ujao .
Marekebisho muhimu zaidi ni :-
1) kuainisha sehemu ya mkono kutozingatia kama kosa ambapo " Mkono wa mchezaji unaishia chini ya kwapa ... yaani sehemu ya juu haizingatiwi miongoni mwa sehemu ya mkono ".
2) mguso wa kiganja usiokusudiwa kwa mshambuliaji unazingatiwa kosa tu ukisababisha kufunga goli au nafasi ya kufunga.
3) Tahadhari na kadi za manjano zinazotolewa wakati wa mechi hayazingatiwi katika Penelti " kugusa mpira " .
4) mlinzi wa mpira akicheza mpira kwa mkono wake kwa kusudi na mpira ukielekea kwa mshambuliaji anayepenyeza wakti huu mechi huendelea .
5) uingiliaji wowote kwa namna yoyote unaozuia fursa ya kufunga goli , unawajibika kumpa mchezaji aliyeusababisha kadi ya manjano .
6)mchezaji asiyefuatia kuweka mbali na refa kwa umbali mita 4 wakati wa urushaji wa mwisho kwa mpira , hupata kadi ya manjano .
7)Refa akiamua kutoa fursa au amruhusu kupiga teke huru kwa upesi baada ya jaribio la kuzuia fursa ya kufunga goli , hatatoa kadi ya manjano kwa mchezaji aliyejaribu kuizuia fursa hii .
8) Golikipa akizuia teke huru au teke la kawaida kisha akaugusa tena mpira kwa mikono yake kabla ya mpira kuguswa na mchezaji mwengine , na hivyo ilisababisha kuzuia ushambuliaji mkali huadhibiwa kwa kadi ya manjano , na akiwa alizuia fursa ya kweli ya kufunga, ataadhibiwa kwa kufukuzwa".
9) mchezaji akizuia teke huru au teke kwa mkono au teke la kando kisha akaugusa tena mpira kwa mkono kabla ya mchezaji mwengine kuugusa na hivyo ilisababisha kuzuia ushambulio mkali , ataadhibiwa kwa kadi ya manjano
Comments