Ujumbe wa vijana wamisri unakutana na wahusika wa "Amani na Usalama" kwa Umoja wa kiafrika.
- 2019-05-29 19:53:42
Ujumbe rasmi wa vijana wamisri ulikutana na bwana Ahmed Mokhtar
"Naibu wa mkurugenzi wa idara ya kuzuia migogoro katika idara ya Amani na
Usalama kwenye Umoja wa kiafrika na idadi ya wahusika wakubwa wa idara, na hayo
katika makao makuu ya kameshina ya Umoja wa kiafrika mjini Ethiopia.
Na hayo yalikuja kupitia mpango wa ziara na maisha kwa Umoja wa
kiafrika mjini Ethiopia kwa ujumbe rasmi
wa vijana wamisri, ambao huandaaliwa kwa Wizara ya mambo ya nje ya kimisri na
kameshina ya Umoja wa kiafrika (kameshina Elimu, Teknolojia, na Rasilimali za
binadamu na kameshina ya mambo ya kisiasa), sawa sawa na urais wa Misri kwa
uongozi wa Rais Abd Elfatah Elsisi kwa Umoja wa kiafrika, pia mnamo sherehe za
Jamhuri ya Misri ya kiarabu kwa
kumbukumbu ya kuanzisha Shirikisho la Umoja wa kiafrika(Umoja wa kiafrika hivi sasa), na hayo mnamo kipindi cha 27 hadi
30 Mei hii kwa mwaka wa 2019 mjini mkuu Adis Ababa mjini Ethiopia.
Meneja ya idara ya kuzuia migogoro alionyesha kwa ujumbe mmisri shughuli za idara ya Amani na Usalama na
yanayofanyikwa toka idara kwa bara zima.
Bwana Mokhtar aliambatana ujumbe mmisri katika matembezi kwenye taasisi
ya kukusanya taarifa, akionyesha mchango mkubwa unaotolewa kwa taasisi hii
katika kusanya taarifa, kuzichunguza na
kuangalia hali za bara la Afrika.
Meneja ya idara ya kuzuia migogoro aliashiria kwa mchango unaotolewa
kwa Umoja wa kiafrika, mikusanyiko ya kiuchumi, na vyanzo vya kikanda katika
uwanja wa Kinga na kuzuia migogoro na kuitatua.
Bwana Mokhtar alifafanua kwamba Baraza la Amani na Usalama la kiafrika
ndilo lenye uhusika wa utendaji wa maamuzi ya Umoja, akiashiria kwamba baraza
liliundwa kama taasisi inayofanya kazi ya kuitatua migogoro mnamo Umoja wa
kiafrika kupitia protokoli maalumu ya
baraza katika Julai 2002 amabyo itateklezwa katika Disemba ya 2003,ili iwe
chombo cha kuunda uamuzi unaohusiana na kuzuia,
kuongoza, kutatua migogoro, na
linda Amani na Usalama barani Afrika.
Na Ahmed Mokhtar alisisitiza kwamba migogoro inazuia kupata masuluhisho
kwa tatizo la wahamiaji, wanaorejea, na
wakimbizi, ikionyesha kwamba sababu za
uhamiaji unaolazimishwa na matatizo ya kibinadamu barani Afrika ni migogoro,
ugaidi, na msimamo mkali.
Inatajwa kwamba ujumbe wa vijana wamisri
unaongozwa na Dokta Abdulaah Albatesh, na Ahmed Abo Elmagd, kwa ushirikiano wa vijana watafiti wahusika
wa jambo la kiafrika toka taasisi za kiserikali na zisizo kiserikali( kitivo
cha masomo ya juu ya kiafrika, chuo kikuu cha Kairo, chuo cha tafiti na masomo
ya kimikakati kwa nchi za Nile chuo
kikuu cha AlFayoum, chuo cha tafiti na masomo ya kiafrika na nchi za
Nile chuo kikuu cha Aswan, mkusanyiko wa kimataifa la wahitimu wa Alazhar
"Masuala ya wageni waafrika, watafiti toka kitivo cha nchi za kiarabu,
watafiti toka programu ya urais kwa kuwawezesha vijana kwa uongozi, wahusika wa
kanuni ya kimataifa, na kanuni kuu, na idadi ya wahitimu wa kitivo cha uchumi
na elimu za kisiasa chuo kikuu cha Kairo na chuo kikuu cha Aleskandaria
Comments