Fanikio kubwa la kisayansi kwa mtafiti mmisri Elham Fadali

Elham Fadali mtafiti wa Uzamivu katika chuo kikuu cha Eindhoven kwa Teknolojia nchini uholanzi pamoja na  timu yake ya uchunguzi  walifanikia  kupata nutu kubwa kutoka Silkon kupitia na kuilazimisha kwa njia mp

Kutokana na yaliyokuja katika karatasi ya uchunguzi ya kisayansi.wachunguzi wameendelea kufuata nuru za
 laser zinazotegemea  silkon kwa miaka kadhaa kukidhi njia kasi na rahisi kuhamisha data kupitia
au baina ya vipande vya Kompyuta

Fadali amepatia shahada ya kwanza ya kisayansi (Bsc)katika uhandisi wa kielektroniki kutoka chuo kikuu cha Marekani mnamo  mwaka 2013.

Amepatia Uzamili wa
Sayansi  (Msc) katika Elimu ya Nano na Teknolojia ya Nano kutoka chuo kikuu cha Chalmerz kwa Teknolojia nchini uholanzi.

Comments