Malak Hussain ni Bingwa wa Misri katika kuogelea kwa Paralimpiki na alifikia olimpiki ya Tokyo 2020 ( kabla ya kuahirishwa kwake )

Malak Alikuwa na upoozaji  wakati alikuwa na umri wa miezi kumi baada ya  ajali gumu na sehemu ya utibabu wake ni matibabu ya maji na kutokana na hayo , Malak alipenda kuogelea na kwa sababu ya upekee wake , alijiunga timu ya kitaifa ya Misri mnamo mwaka wa 2014 na alianza kuhakikisha michuano.

Malak alihakikisha medali 39 za kitaifa na medali 6 za kimataifa na mnamo 2018 alipata  nafasi ya michuano ya dunia kwa vijana huko Ireland na aliainishwa kama mwogeleaji wa kwanza duniani kwa umbali mfupi na katika mashindano ya dunia katika London 2019 alipata namba ya kiafrika na mafanikio ya Malak yaliendelea hadi alifikia duru ya michezo ya paralimpiki katika Tokyo 2020

Comments