Wizara ya vijana na michezo yatangaza mashindano mapya ya kimichezo na kuwaalika vijana waarabu washiriki
- 2020-04-20 15:55:32
Elsheikh na koka wanashiriki katika michuano ya GET kwa FIFA 2020 .
Wizara ya vijana na michezo ilitangaza kwa ushirikiano wa shirikisho la kimisri la michezo ya kielektroniki , kuhusu kupanga kwa mashindano ya kikanda kupitia intaneti na kufungua mlango wa kushirikiana kwa wachezaji wa mchezo wa kieletroniki ambayo chuo cha kiarabu cha usafirishaji wa bahari , tawi la Kairo ( moja ya taasisi za chuo kikuu cha nchi za kiarabu ) kinatangaza zawadi zake kwa washindi katika michezo miwili ya ( Mobile Legend ) na ( Fortnight ) kwa usimamizi na ushirikiano wa wizara ya vijana na michezo kwa uongozi wa Dokta Ashraf Sobhy .
Katika upande huo , shirikisho la kimisri linaongea na mwenzake katika umoja wa falme za kiarabu na Saudi Arabia kuhusu mwaliko wa wachezaji wa nchi hizo mbili ili kushiriki na kuweka msingi wa ubingwa wa kiarabu wakati wa kuwakaribisha wanachama wa shirikisho la kiarabu la michezo ya kielektroniki kwa uongozi wa Mfalme Fesal Bin Bandar Bin Sultan , katika mazingira chanya ili kufaidika kutoka kwa nishati za vijana wakati wa marufuku na kulazimishwa kukaa nyumbani kupambana na mlipuko wa virusi vya Corona kote duniani.
Katika muktadha huo huo, Shirikisho la kimsri kwa Michezo ya Elektroniki, kwa kushirikiana na Wizara ya Vijana na Michezo, linaandaa Mashindano ya Mpira wa Miguu wa FIFA 20 na ushiriki wa nyota wa soka wa kimisri Ahmed Hassan Koca, mchezaji wa Klabu ya Uigiriki ya Olimpiki, timu ya Misri, na Ahmed Sheikh, mchezaji wa Klabu ya Al-Ahly, wachezaji 1024, wanashiriki katika mashindano haya , wenye uainishaji wa kimataifa kutoka kwa Wamisri.
Imetajwa kuwa Shirikisho la kimisri la Michezo ya Elektroniki lilisisitiza kwamba ushirikiano na Taasisi ya Kiarabu ulikuja kama matokeo ya kupanga mashindano ya zamani katika makao makuu ya Chuo huko Kairo na kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wanafunzi, likitumaini kwamba ushirikiano huo na taasisi ya zamani ya elimu ya Kiarabu itaendelea kugeuka kuwa ubingwa wa kiarabu unaojumuisha vyuo vikuu vya kiarabu baada ya kumalizika kwa janga la Corona
Comments