Mkurugenzi wa Klabu ya Afrika na Maendeleo nchini Misri: Tunahangaika kuimarishe biashara ya ndani ya kikanda katika bara jeusi.
- 2019-05-29 19:56:54
Mona Al Qadri, Mkurugenzi wa Klabu ya Afrika na Maendeleo huko Misri, alisisitiza kuwa uzinduzi wa klabu kupitia kundi la Al-tujari wafa Bankl ina lengo la kuimarisha biashara ya ndani ya kikanda katika bara jeusi na kuisambaza kwenye maeneo ya kusini mwa Afrika,akieleza kuwa juhudi hizi zitasaidia msingi wa ushikamano na kuhakikisha malengo ya kimaendeleo ya Kiendelevu.
"Qadri" katika maelezo yake katika sherehe ya Daku
iliyofanyikwa na Kikundi cha Benki kwa kuhudhuria na Hisham Tawfiq, Waziri wa
Sekta ya Umma, na Hla Saqr, mwanachama
mwakilishwa wa kibiashara wa Wafa Benki ya Misri, na Neven Gamea "Mkurugenzi Mtendaji wa
mfumo wa miradi midogo na katikati,
ameongeza kwamba uzinduzi wa klabu
nchini Misri utasaidia mamlaka za kiuchumi kama tawi la kumi la klabu nchini
Misri, na inatoa fursa za uwekezaji kwa kampuni za kimisri ili kutambua fursa
za kiuchumi katika soko la kiafrika.
Comments