Wizara ya Vijana na Michezo, yazindua mashindano ya kwanza ya Karate kwenye mitandao(Online)

Chini ya utunzaji wa Dokta Ashraf Sobhy  Waziri wa vijana na michezo, leo  mashindano ya kwanza ya Karate online yamezinduliwa, na wachezaji 40, chini ya umri wa 18, walishiriki  katika mashindano haya, kwa uongozi wa ofisi ya vijana wa mji wa Miet Ghamra, kwenye mkoa wa Dakahlia.



Ashraf Sobhy, alikubali kutekeleza mashindano hayo kwa uratibu na shirikisho la Karate na eneo la Dakahlia kwa Karate; ambapo mashindano hayo yalifanyika kwa njia ya  video ya mitandao .


Ambapo, mchezaji anafanya mtindo wa Kata kutoka nyumba yake online, au mbele ya tume ya refa  katika kituo cha vijana huko kurugenzi kwenye Dakahlia.



Inayopasa kutajwa  ni kwamba wafuasi wa mtandao wa kielektroniki wa Ofisi ya Vijana wa Miet Ghamra walipata mafunzo, na pia ilifanyiwa mazoezi kadhaa online na wachezaji na wazazi wao, kwa njia ya video ya mitandao.



Waziri huyu alitoa mielekezo yake kwa kuchukua hatua za dharura za usafishaji wa mahali pa utekelezaji na pia kituo cha tume ya refa.



Mashindano hayo yanakuja katika mraba wa mielekezo ya Wizara ya Vijana na Michezo kuelekea dijiti na

 ulimwengu wa tekenolijia, ambapo viongozi wanaofanya kazi katika Wizara wa vijana na michezo wameandaliwa, mashindano hayo yametekelezwa chini ya utunzaji wa bwana Alaa Al-Sherbiny  Mwakilishi wa wizara wa vijana na michezo mkoani mwa Dakahlia, Dokta Tarek Basha, Mwakilishi wa kurugenzi kwa vijana na msimamizi mkuu wa mashindano, na  Bwana Ahmed Allam Mwakilishi wa kurugenzi kwa michezo.

Comments