"Mmisri Amir Wageh : Nimeanzisha klabu ya kwanza ya Boga nchini Marekani na natamani kutekleza ligi ya shule nchini Misri "
- 2020-05-02 23:31:04
Amir Wageh mkurugenzi wa kiufundi wa timu ya taifa ya Boga alisema hivi sasa katika michuano ya dunia juu ya jukumu lake katika kuunda mchezo wa Boga wa Marekani na kuunda klabu ya kwanza kwa mchezo huo kwenye Washington .
Na Wageh katika taarifa ya televisheni : alisema kwamba jaribio la Marekani lilikuwa jipya kwangu basi niliiweza na nilikuwa sababu ya kuingiza skwashi kwa mji mkuu wa Marekani , na niliuunda klabu ya kwanza ya mchezo huo , wakati wamarekani waliwasiliana nami baada ya mabadiliko yaliyotokea nchini Misri kwa skwashi na waliniomba niwe mhusika wa kuendeleza mchezo nchini Marekani .
Wageh Aliongeza , nilihamia Washinton wakati klabu lilikuwa bado halijaundwa , ilikuwepo klabu linajumuisha baadhi ya viwanja vya G.m (ukumbi wa mazoezi ya mwili ) vidogo na tulikuwa kuvikodi , na tulitekeleza programu yetu kwa kufanya mazoezi kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na shule , nilifanya ligi ya shule , na hayo ambayo natamani kuyatekeleza nchini Misri kupitia kufanya ligi ya shule kati ya wanafunzi , na hilo nililojadili na Dokta Ashraf Sobhy waziri wa michezo kwani hiyo ni hatua tofauti kwa mchezo na kuusambaza .
Muungano wa wachezaji mabingwa wa skwashi Psa ulitangaza kusitisha uainishaji wa dunia wa mchezo mnano mwezi huu wa Mei , na hivyo baada ya shughuli ya michezo zimesitishwa kwa sababu ya janga la Corona , na kutofanya michuano yoyote inayowezekana kuubadilisha uainishaji .
"Muhammed Elshurbagy " yuko mbeleni mwa uainishaji wa dunia kwa wachezaji wa kiume wa Boga, kwa upande mwingine Ranim Elwaili mchezaji wa Wadi Degla alifikia kileleni mwa uainishaji wa wachezaji wa kike .
Ingawa msimu wa skwashi ulisitishwa hadi muda haujulikani kwa utaratibu wa ulinzi ili kuzuia uenezaji wa virusi vya corona ، ila mabingwa wamisri wa mchezo waliweza kuendelea kujipamba za na mbeleni wakati wa michuano yote walioicheza mpaka sasa kwa kufikia idadi ya michuano iliyopatwa na wamisri katika mashindano ya wanaume na wanawake hadi mataji 15.
Comments