Shirikisho la kimataifa la kuogelea laahirisha mashindano ya dunia 2021 kwa mwaka wa 2022

Shirikisho la kimataifa la kuogelea lilitoa katika taarifa yake kwamba liliamua kuahirisha mashindano ya dunia 2021 yanayofanyika katika mji wa Fokoka wa Japan

 Kwa muda wa mwaka ili kufanyika mnamo kipindi kinacho kati ya siku ya 13 na 29 wa mwezi wa Machi wa mwaka wa 2022. 


Na uamuzi unakuja baada ya olimpiki ya Tokyo 2020 iliahirishwa kwa mwaka ujao kwa sababu ya janga la virusi vya Corona .


Na kholiyo Maliyoni Mkuu wa shirikisho la kimataifa la kuogelea alisema : "baada ya kuratibu na pande zenye uhusiano na kupokea maoni yao , sisi tuna imani kwamba uamuzi tunaochukua , utakuwa wenye faida kwa washiriki wote wa mashindano "


 Aliongeza : " mnamo Wakati wa siri isiyo ya kawaida , shirikisho la kimataifa la kuogelea linatumaini kuwa miadi mpya ambazo zinatangazwa ziwe wazi kuhusu utaratibu kwa pande zote zenye uhusiano "

Comments