Rais El Sisi atoa uwezekano wa Matumizi ya jamii kwa Mamlaka ya Uwanja wa Kairo na majengo yake ya kimchezo

Siku ya Alhamisi , Rais El Sisi alikutana na waziri wa vijana na michezo , kwa mahudhurio ya mshauri wa rais wa jamuhuri kwa Upangaji wa miji na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Kitaifa kwa Barabara 


Na mkutano umejadili mambo mapya ya mwisho ya utekelezaji wa mipango na miradi ya wizara ya vijana na michezo katika pande zote za Jamhuri.


Na rais aliamuru uwezekano wa matumizi ya kijamii kwa Uwanja wa Kairo na majengo yake ya kimchezo baada ya kuyaandaa kwake ,  kuyaboresha na Kuongeza ufanisi wake. 


Na Rais alifuatilia hatua za utekelezaji zinazohusu maendeleo ya mji wa kimchezo 

Mashariki mwa portsaid na unaojumuisha kuandaa uwanja mpya kutokana na Viwango vya juu zaidi vya kimataifa uliokuwa na uwezo wa watazamaji elfu 40 na majengo mengi  ya kimchezo na ya burudani , pamoja na kujadili maendeleo ya eneo ya uwanja wa portsaid ya kisasa kutokana na mifano mipya zaidi ya maendeleo ili kuboresha matumizi

 bora zaidi ya majengo katika maeneo haya.


 Hayo yote yalitolewa na Balozi Bassam Radi , msemaji rasmi kwa jina la urais wa Jamhuri.


Comments