Kwa mahudhurio ya waziri wa Vijana na Michezo ya kimisri ... Uzinduzi wa mikutano ya kwanza ya Ofisi ya kiutendaji ya Afrika kwa kupambana na Steroids za "RADO"
- 2020-05-09 16:31:25
Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana wa Michezo, mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Kimataifa la Kupambana na Steroids anayeiwakilisha Misri alikutana na Bwana Rodney Swigler, Mkurugenzi wa Ofisi ya kiutendaji kwa Wada barani Afrika, Bwana Mashacha Makamu wa Rais wa Kameshina ya kiafrika, wakikilishi Seshil na Afrika Kusini, kupitia teknolojia ya video (Conference).
Mkutano huo ulijadili maudhui kadhaa muhimu hasa majadiliano ya mpango wa kimikakati wa Wada 2020/2024 na athari za Sheria ya Rushenkov na athari zake kwenye maandamano ya Steriods katika michezo. Na Misri iliomba ufafanuzi zaidi kuhusu sheria hiyo kabla ya kukabiliwa au kukataliwa kwake, kama Uundaji wa kamati kadhaa za muda na za kudumu, maswala ya kisheria na Kamati ya Ushauri na Upelelezi ilipitishwa, na jukumu la mashirika ya kitaifa ya kuzuia Steroids na kuongeza jukumu lao katika elimu ya umbali na hatua za tahadhari za kugundua Steroids wakati na baada ya janga la Corona ilipitishwa , na mkutano ulihitimishwa kwa idhini ya Protokali yaliyosainiwa kwa mkataba ya Kuelewa na Shirikisho la Kimataifa ya madawa na Muungano wa madawa.
Hii inakuja katika mfumo wa ushirikiano wa kimataifa katika uwanja wa kupambana Steroids kwa michezo na jukumu la muhimu la kiongozi la Misri kwa mataifa, pia mkutano huu unakuja katika maandalizi ya majadiliano ya masuala kadhaa yanayohusiana na Afrika kabla ya kuwasilishwa katika mkutano wa Ofisi ya kiutendaji wa WADA uliopangwa kufanyika Mei 15, 2020.
Katika suala hili, Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na Michezo, alisema kuwa Misri ina matarajio makubwa kwa ajili ya michezo kuwa utupu kutoka Steroids katika Afrika na ulimwengu, akibainisha kuwa Misri itatoa msaada wa kila aina kwa Wakala wa Kimataifa wa Kupambana na Steroids ili kufikia malengo yake katika suala hili.
Pia Sobhy alisisitiza jukumu chanya la shirika, ofisi ya kiutendaji na Kameshina katika kuunga mkono kikamilifu kwa idhini ya Maabara ya Misri na Kimataifa ya Uchambuzi wa Steroids ,na hiyo baada ya maabara kuidhinishwa kwa uchambuzi wa damu na idhini ya pasipoti ya biolojia , na iko tayari kitaalam,
Kitawala na kiufundi kulingana na matakwa ya El Wada ya kutegemea kamili na Uchambuzi wa sampuli za mkojo.
Mkutano huo ulihudhuriwa na Dokta Ahmed Al Sheikh, Naibu wa Wizara- Mkuu wa Idara kuu ya Masuala ya Ofisi ya Waziri, na Dokta Rizk Abd el-Fatah - Mshauri wa Matibabu kwa Waziri wa Vijana na Michezo - mjumbe wa waziri Katika "RADO".
Comments