Virusi vya Corona vinaathirije ligi za kiafrika ... Na njia za kuainisha bingwa na wafikia?

Virusi vya Corona bado vinasumbua kalenda ya mashindano ya michezo katika nchi za ulimwengu , isipokuwa Athari yake  ipo wazi na kubwa kwa nchi za bara la Afrika . 


Janga la virusi vya Corona linaendelea na Athari hasi yake katika maligi ya kiafrika yanayoathirikwa kwa kuahirisha au kusitisha kama yafuatayo :-


Morisi


Morisi ilikuwa nchi ya kwanza ya Afrika iliyomaliza msimu wa soka kutokana na virusi vya Corona , baada ya kuuahirishwa hapo awali mnamo tarehe 19   mwezi wa Machi uliopita .


Na Shirikisho la soka liliamua kwa kukubaliana na vilabu uamuzi wa kusitisha msimu wa michezo kwa sababu ya kutowepo sura wazi juu ya  tarehe ya kumalizika janga hilo.


Uamuzi huo ulitolewa tarehe 6   , mwezi wa Aprili , 2020 wakati hakuchukuliwa uamuzi kuhusu wawakilishi wa nchi hiyo katika mashindano ya Shirikisho la Afrika kwa vilabu vya msimu ujao .



Angola 


Shirikisho la Angola la soka  katika tarehe 30 mwezi wa Aprili uliopita  liliamua kusitisha msimu  wakati wa kubaki raundi tano za kuumaliza na hivyo baada ya mkutano wa vilabu vya timu bora . 


Petro de luanda ilikuwa mbeleni mwa ligi ya mgawanyiko wa kwanza kwa Alama 54 wakati primero de Agusto ilikuwa ya pili , na imeshafikia  uamuzi kwamba timu mbili hizo zinawakilisha Angola kwenye ligi ya mabingwa ya CAF . 


Hakuchukuliwi uamuzi juu ya mwakilishi wa Angola kwenye kombe la Shirikisho ambapo utachukuliwa uamuzi baadaye kwa kuzingatia mambo ya kifedha na hali ya virusi vya Corona .


Kenya 


Mnamo Aprili 30  Shirikisho la soka la Kenya liliamua kusitisha msimu wa soka katika timu zote saba za wanaume pamoja na timu za ligi ya wanawake kwa sababu ya hali ngumu iliyotajwa katika kanuni .


Bingwa wa ligi la kenya alishika nafasi kutokana na mpangilio wa orodha katika msimu wa kati ambapo Gore Mahia alipewa taji  bingwa wa ligi bora la kenya kwa mara ya 19 wakati ambapo Sukar Shimili  na Sukar  Sony zilianguka chini , kwa upande mwingine Nirobi city stars ilishinda ligi la premida na Bidco United .


Vilevile, timu mbili za wanawake 

Zimeshasisitishwa  ambapo haikufanywi raundi isipokuwa moja tu kutoka msimu mpya.


Burkena Faso


Kamati ya dharura ya Shirikisho la soka la Burkena Faso iliamua kusitisha msimu wa kundi la kwanza ingawa raundi sita zilibaki .

Vilevile, ilichukua uamuzi kutochagua bingwa au kumwekea katika mgawanyiko ya kwanza wakati ambapo ligi la mgawanyiko ya pili limekwisha na timu mbili za kwanza zitavukwa , ambayo inamaanisha kuwa msimu ujao wa ligi kuu utajumuisha timu 18. 

Pia timu ya Rahimi imechaguliwa ili kuwakilisha Burkena Faso kwenye ligi la mabingwa CAF. Wakati ambao Salitas itacheza kwenye kombe la Shirikisho .


Liberia 


Shirikisho la soka la Liberia mnamo  tarehe 5 mwezi huu wa Mei liliamua  kusitisha maligi ya soka yote bila ya kuainisha bingwa , kwenda juu au chini baada ya mkutano wa kamati ya kiutendaji .

Na ilikuwa imebaki raundi tisa fainali ya ligi wakati Mchezaji Mayti Barroll alikwenda mbele kwa Alama 23 kwa tafauti Alama moja BEA Munten na Alama mbili kutoka  mwenye nafasi ya tatu  Mc Priors .


Ligi linakuwa bado tayari na wazi kwa mashindano kwa tafauti Alama nne tu kati ya aliyevuka na mwenye nafasi ya nane . 


Iliyopangwa kwamba Shirikisho la soka la Liberia kushauriana juu ya kuandaa mashindano kati ya timu nne za kwanza ili kuainisha wawakilishi wa nchi katika mashindano ya Shirikisho la Afrika la vilabu CAF katika msimu ujao . 



Guinea 


Kiungo cha ligi la Guinea la mabingwa kilitangaza mnamo terehe 30 Aprili uliopita kuwa lilishindwa kuendelea ligi la magawanyiko wa kwanza na wa pili kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona na kiliamua kwa jumla kusitisha msimu bila ya kuainisha bingwa aliyekwenda juu au chini kwa sababu kutoonekana wazi yanayohusu kumalizika kwa janga hilo .


Ligi la Guinea lilikuwa katikati wakati Horoya alishika Alama  29 kwa tafauti Alama nne ya Wakiria wa pili .

Shirikisho litachukua uamuzi juu ya wawakilishi wa mashindano ya Shirikisho la Afrika kwa vilabu . 


Congo 


Shirikisho la soka la Congo liliamua mnamo tarehe 5 mwezi huu  Mei kuitwaza timu ya AS. Autuho bingwa wa msimu 20-2019 

Baada ya kusitisha shughuli za soka kwa sababu janga la virusi vya Corona . 


 Na kamati ya kiutendaji iliamua baada ya mkutano kuthamini hali hiyo , na ilikubaliwa kwa jumla ugumu wa kuendelea shughuli za michezo hivi karibuni . 


Uhutu alikuwa mbeleni kwa  tafauti Alama 14 pamoja na kubaki mechi sita  mwishoni mwa msimu unaositishwa , vilevile , atashirikisha katika ligi la mabingwa wa Afrika wakati ambapo mwenye nafasi ya pili Daibel Nuwar atashiriki katika michuano ya kombe la shirikisho . 

  

Ethiopia 


Kamati ya kiutendaji katika shirikisho la soka la Ethiopia iliamua mnamo tarehe 5 mwezi huu wa Mei  kwa kushauriana na taasisi za serikali na idara ya ligi ili kusitisha shughuli  zote za soka  bila ya kuainisha bingwa wa mashindano au anayekwenda juu au chini . 


Ligi la Ethiopia lilisitisha mwanzoni  mwa Machi wakati ambapo janga la Corona lilianza kuenea , na Kinima  alikuwa mbeleni mwa nafasi kwa Alama 30 , Maicheal Anderitia alikuwa wa pili kwa Alama 28 kama San Jorj wa tatu . 


Vilevile , Shirikisho la Ethiopia la soka lilitangaza kuwa Ethiopia haitakuwa na mwakilishi katika mashindano ya vilabu vya bara katika msimu ujao .


Comments