Protokoli ya ushirkiano kati ya Misri ,Australia na New Zalend kwa upande wa mpira wa wanawake

Dokta Sahr Abd El Hak   mjumbe wa kamati ya El Khomasia inayoongoza kwa idara ya shirkisho la kimisri kwa mpira wa miguu na msimamizi mkuu wa mpira wa wanawake ,na Kocha  Abd El Latif Imam  mwenyekiti wa kamati ya kuboresha kwa mpira wa wanawake , leo Jumapili katika mkao makuu ya shirkisho la mpira , walimpokea Balozi wa Australia katika Jamhuri ya  kiarabu ya Misri, Bwana  Gilen Maelz ,na pia Naibu wa Balozi wa New Zealand nchini Misri Bwana Ros Batshor ,kwa ajili ya kutafutia njia za ushirkiano kati ya shirkisho la kimisri , la kiaustralia na New Zealand.


Mkutano ulioendelea  kwa saa moja na nusu ulimalizika kwa  makabilano juu ya kutia saini kwa protokoli ya ushirkiano wa kimchezo kati ya Misri ,Australia na New Zalenda ,wiki ijayo ,hii kwenye kiwango cha  mpira wa miguu kwa wanawake katika kiwango cha kitaifa au kimataifa  pamoja na kubadilishana Ujuzi ,kati ya nchi  tatu hizo kwa upande wa  timu za kitaifa .


Dokta Sahar Abd Elhak alieleza kuwa protkoli hii inazingatia hatua  ya kuthamini kuelekea kuimrisha njia za ushirkiano na mahusiano kati ya Misri ,Australia na New Zalend ,linalofaidika  michezo ya kimisri ,mkataba ulitaja kufanya kozi za  kizoezi na kiutamaduni kwa kocha wa wanawake kwa mpira wa miguu.


Pia alisema ,kuwa kpindi kijacho kitashuhudia kutia saini protokoli nyingi za kimchezo ,ili kuhakiksha maendeleo katika siku za  usoni za mpira wa miguu wa wanawake wa kimisri ,juu ya kiwango cha kienyeji ,kibara na kikanda .


Msimamzi mkuu wa mpira wa wanawake ,alisistiza msaada wa shirkisho la kimisri la Soka kwa suala la Australi na New Zalend ili kukarbisha michuano ya kombe la dunia kwa wanawake mnamo mwaka wa 2023.

Comments