Ujumbe wa Wizara ya vijana na michezo unatoa mkusanyiko wa vitabu kwa maktaba ya Umoja wa kiafrika.
- 2019-05-30 12:42:37
Ujumbe wa Wizara ya vijana na michezo
ya kimisri ulitoa mkusanyiko wa vitabu kwa maktaba ya Baraza la Amani na Usalama na maktaba kubwa zaidi
kwenye jengo la kameshina ya Umoja wa kiafrika, na hayo mnamo ziara ya ujumbe
rasmi mmisri wa vijana kwa umoja wa kiafrika, inayoandaliwa kwa Wizara ya
vijana na michezo ya kimisri kushirikiana na Wizara ya mambo ya nje ya kimisri,
kameshina ya Umoja wa kiafrika (kameshina ya Sayansi, Teknolojia, Rasilimali za
binadamu, na kameshina ya mambo ya kisiasa), mnamo kipindi cha 27 hadi 30 Mei
mwaka wa 2019 katika mji mkuu wa
Ethiopia "Adis Ababa."
Na tuzo hii ya vitabu inasawazisha na mpango uliotolewa kwa
shirikisho la "Vitabu kwa ajili ya Afrika" chini ya kauli ya
kuimarisha utamaduni wa kusoma barani Afrika, ili kukamilisha juhudi zenye
lengo la kutatua ukosefu wa vyanzo vya Maarifa, na kusaidia kutoa Maada
zinazosaidia bara kwa kuhakikisha mtazamo wake wa Rasilimali za binadamu, pia
ili kueneza uwezekano wa vyanzo vya Maarifa kwenye maktaba ya kameshina ya
Umoja wa kiafrika, ambapo maktaba inazingatiwa kama kituo cha vyanzo kwa
maafisa wa kameshina na vyombo vya Umoja wa kiafrika na nchi wanachama.
Inatajwa kwamba ujumbe wa vijana wamisri kwa
uongozi wa Dokta Abdullah Elbatesh na Ahmed Abo Elmagd kwa kushirikiana na
vijana watafiti wanaohusika katika suala la kiafrika kutoka taasisi za
kiserikali na zisizo za kiserikali ( kitivo cha masomo ya kiafrika ya juu
katika chuo kikuu cha Kairo, Chuo cha
masomo ya mfereji wa Nile katika chuo kikuu cha Fayom, Chuo cha masomo na
tafiti za nchi za Nile katika chuo kikuu cha Aswan, mkusanyiko wa kimataifa wa
wahitimu wa AlAzhar " masuala ya wageni waafrika", watafiti toka chuo
kikuu cha mataifa ya kiarabu, watafiti wa programu ya urais kwa kuwawezesha
vijana kwa uongozi, na wahusika katika kanuni kuu ya kitaifa na idadi ya
wahitimu wa kitivo cha uchumi na elimu za kisiasa chuo kikuu cha Kairo, na chuo
kikuu cha Aleksandaria.
Comments