Waziri wa michezo afungua mkutano wa tatu wa kimtaifa kwa utamaduni wa kimchezo kupitia mtandao wa video
- 2020-06-07 13:16:04
Dokta Ashraf Sobhy, waziri wa vijana na michezo, Rais wa ofisi ya kiutendaji kwa baraza la mawaziri waarabu wa vijana na michezo ,siku ya jumanne ,kupitia mtandao wa video, amefungua matukio ya mkutano wa tatu ya kimtaifa kwa utamaduni wa kimchezo unaofanyawa chini ya kichwa cha (kusahihsha njia kwa ajili ya mchezo wa Usalma ulimwenguni )kwa maandalizi ya pamoja kwa mashirkisho ya kimisri ,kiarabu na kiafrika kwa utamaduni wa kimchezo .
Kikao cha kufunguliwa kinashuhudiwa na sheikh Sood El Abd Al Aziz, katibu mkuu wa shirkisho la kamati ya kiolompiki ,kitaifa na kiarabu ,Ashraf Mahmoud, mwenyekiti wa shirkisho la kimisri kwa utamaduni wa kimchezo, mwenyekiti wa mkutano ,na Bwana Mustafa Beraf mwenyekiti wa shirkisho la kamati za kiolompiki za kiafrika ,na katika matukio ya mkutano yanayofanyawa kwa mtandao wa kijamii kwa siku tatu hushiriki takribani watafiti elfu 4 kutoka nchi 18 za kiarabu .
Katika hotuba yake , Dokta Ashraf Sobhy alilisifu wazo la mkutano wa (kusahihisha njia kwa ajili ya mchezo wa usalma ulimwenguni ) ambao hufanyikwa na kundi la Waatalm kutoka nchi tofauti ili kubadilisha maoni ,tafiti kuhusu janga la Corona ,njia za kuifanya pamoja na kuanzisha harkati za kivjana na mashindano ya kimchezo ,akionesha maelekezo ya viongozi wa kisiasa na juhudi ya serkali ya kimisri za kuchukua mauamuzi katika kupambana na mgogoro na kuyafanya afya na usalma wa wananchi mwanzoni .
Waziri wa vijana na michezo alisistiza kuelekea nchi tofauti za ulimwengu katika muda wa kisasa kwa dharura ya kupatikana njia ya mawazo katika mwenendo wa maisha kwa mujibu wa misingi na taratibu zinachukuliwa kwa kulinda wananchi kutoka virusi ya Corona ,akiashiria kuanzisha idadi za vikao vya kiulaya mnamo mwezi wa kisasa kufutana na taratibu za kulinda ,akiashiria katika njia hii ,kwa umuhimu wa kuchunguza msimamo unaohusiana kuanzisha vikao vya kiulaya ,kufungua nyanja ya kuuliza kuhusu masuluhisho ya kisayansi na njia za kuyatekeleza.
Mwenykiti wa ofisi ya kiutendaji aliomba baraza la mawaziri waarabu wa vijana na michezo wanaoshirki katika mkutano kutoa kundi la mapendekezo la kimsingi yanayowakilishi masuluhisho makuu kwa eneo la kiarabu na Mashariki ya kati ili Kupambana na virusi vya Corona wakati wa kurudi tena kwa harakati za kimichezo na uchunguzi wa kisayansi kwa msimamo wa virusi akiashiria kuwa mapendekezo haya yataeneza na yataoneshwa kwenye baraza la mawaziri waarabu wa vijana na michezo .
Kwa upande wa taratibu zilizochukuliwa kuhusu mashindano ya kimichezo na harkati za vijana nchini Misri , Dokta Ashraf Sobhy alieleza kuwa kamati ya kimatibabu imeshaundwa na imeshaunganishwa kwa kamati za kimatabibu kwa mashirkisho ya kimchezo na kamati ya kiolompiki ya kimisri ili kuweka kadi kamili hutegemea viwango vya kisayansi kwa uratibu na wizara ya afya ya kimisri inajumuisha taratibu za kulinda lazima kuitekeleza kwa kurudia harkati za kimichezo nchini Misri ,na taratibu za kulinda hizi zitaonyeshwa kwenye baraza la mawaziri ili kuzisoma na kupitisha kuzitekeleza juu ya shirika la kimichezo na vijana .
Katika suala hili , Dokta Ashraf Sobhy aliashiria uamuzi wa baraza la mawaziri kuhusu kurudi harkati tena mnamo nusu ya mwezi huu wa juni, na wameshaweka mpango ili kurejea vituo vya vijana na klabu za kimichezo katika muda maalumu ,pia kuweka mfumo wa michezo na kuirudia juu ya awamu , itapatikana ufuatiliaji kiasi kwamba katika hali ya kutokuwepo matatizo itakwenda kwa mujibu wa mpango unaowekwa ,na majibu yatakuwa kuhusiana na mpango uliowekwa ,akitarajia kupatikana chanjo au tiba kwa janga la Corona karibuni sana .
Kwa upande wake ,katibu mkuu kwa Shirikisho la kamati za kiolompiki za kitaifa za kiarabu alieleza matarajio yake kuanza awamu mpya, inayoanza kurejea harkati ya kimchezo kwa uratibu ,shirkisho la kamati ya kiolompiki na kiarabu lipo tayari kwa kushikilia mipango inajumuisha protokoli ya kurudi kwa Usalama kwa michezo kutoka nchi tofauti za kiarabu ,akisifu mchango wa ofisi ya kiutendaji kwa baraza la mawaziri waarabu wa vijana na michezo kwa uongozi wa Dokta Ashraf Sobhy katika kutoa misada na uwezo unaohitajika
Comments