Afrika Sport:- " Salah" ni mshambuliaji mwafrika wa pili bora katika historia ya " ligi kuu" ...Tambua orodha nzima

pamoja na kukaribia kuanza tena ligi kuu la  kiingereza la soka v, vyombo vya habari ima katika Afrika au Uingereza vilitilia maanani kujumuisha matukio muhimu yanayohusu nyota wa bara la Afrika wakati wa kucheza kwao katika ligi kuu ambapo tovuti ya " Afrika sport " inayotamka Kifaransa  ilifuatilia  washambuliaji ishirini bora zaidi  wanaojulikana katika viwanja vya ligi la Uingereza tangu kuanzishwa kwake mpaka wakati wa kuandika insha hiyo .

Nyota wa Misri na timu ya liver ball  Mohamed Salah alifikia kwa ufanisi nafasi ya pili baada ya  Didier Dorogba ya  lvory aliyefikia mbeleni .


Tovuti ilisema wachezaji wafrika tangu muda mrefu wamekuwa miongoni mwa bora zaidi katika ligi la Uingereza na wameongeza mashindano kwa vipaji vyao . 


Iliongeza kuwa mara nyingi mwangaza inaangazia washambuliaji kuliko watetezi kwa sababu ligi kuu ni jambo la hasa kwani bila shaka ni linalovutiwa zaidi ulimwenguni na labda linalojazwa zaidi kwa vipaji vya ushambuliaji vinavyoacha alama yake , na ni wazi kwamba kuna mabalozi wengi kutoka bara la Afrika miongoni mwa washambuliaji bora kwenye ligi bora .


Tovuti iliashiria kuwa haishangazi kukuta kileleni mwa piramidi Drogba Muhammed Salah ' Riad Mahrez , Emmanueli Adebayor au Sadio Mane na  hakuna ubishi juu ya nafasi ya kwanza inayokwenda bingwa wa lvory Coast ambapo nyota mkongwe wa zamani wa timu ya Chelsea aliacha nafasi kubwa kwenye Stamford Bridge na kwa kuzingatia hili , alimtangulia Salah ambaye ni pamoja na Mane na Opamiang wanafanya juu chini ili kuinua jina la bara la Afrika . 


"Afrika Sport" imeongeza kuwa Nwanko kano ( wa nane) , Demba Pa ( kumi na moja ) , Salomon Kalou (kumi na tano) na Peter Odemwingi (kumi na sita ) wameongezwa kwenye orodha hiyo , na wao wote  bila ya tofauti ni Alama kubwa kabisa kwenye ligi kuu tangu kuanzishwa hadi sasa . 


Utaratibu wa wachezaji umekuja kama vifuatavyo :-


1- Didier Dorogba ( Cote d' voire)


2- Muhammad Salah (Misri)


3- Riyad Mahrez (Algeria)


4-Emmanual Adebayor ( Togo) 


5- Sadio Mane ( Senegal ) 


6-Pierre Emerick Aubameyang (Gabon )


7- Yakubo ( Nigeria) 


8- Nwanko Kano

(Nigeria) 


9- Ivan Ikoku ( Nigeria) 


10 - Shula Amyoubi (Nigeria) 


11- Demba Pa ( Senegal)


12 - Frederick Canute (Mali) 


13 - Babis Cisse ( Senegal)


14 -Benny Mecarthy (Afrika kusini) 


15 - Salomon Kalou ( lvory Coast)


16 - Peter Odemwingie (Nigeria) 


17- Wilfred Bony ( lvory Coast ) 


18- Peter Ndlovu (Zimbabwe) 


19- Wilfred Zaha ( lvory Coast) 


20- Anthony Yepoah (Ghana)


Comments