Makumbusho ya ustaarabu wa kimisri ndiyo karibu kwa kukarbisha kura ya kombe la dunia ya mpira wa mikono

Hakuna sauti katika shirkisho la mpira wa mikono la kimisri ipo juu ya sauti ya maandalizi kwa kombe la mikono, tukio la kidunia na maalumu zaidi juu ya uwanja wa kimchezo cha kimisri inaamuliwa kufanyawa mnamo  mwezi wa Januari ,mwaka ujao kwa ushirki  wa nchi 32 kwa mara ya kwanza katika historia ,pia shirkisho linaendelea kuchukua taratibu zote kungoja  uamuzi  unaotarajiwa wa kuanzisha tena harakati ya kimchezo .


Kwa upande wake ,Momen Safa, Katibu mkuu wa Mfuko wa shirkisho la kimisri kwa mpira wa mikono alisistiza kuwa shirkisho lilifanya kundi la mikutano na kuchukua  maumuzi  kadhaa muhimu kupitia mkutano wake wa mwisho, na maalumu zaidi ni  jukumu la Dokta Mahmoud Al Adl  mjumbe wa baraza la idara ya shirkisho la kimisri kwa mpira wa mikono kwa  kuchukua taratibu zote za kinga  ili kupambana  na virusi vipya vya Corona,hii kwa kufuata maelezo ya kulinda yanayotokea kutoka shirkisho la kitaifa kwa mpira wa mikono ,kamati ya kiolompiki na kimisri na wizara ya vijana na michezo kwa ushirkiano wa Dokta Hasan Kamel, Mwenyekiti wa kamati ya kimataibabu kwa kamati ya kiolompiki na kimisri na kufanya ripoti kamili inayoeleza kuanzisha tena harkati na  kungoja uamuzi wa nchi kwa kurudisha harkati ya kimchezo na kuendelea kufanya baraza kuu kungoja uamuzi wa nchi kwa kurudisha harkati ya kimchezo kikamilifu .

Safa alisistiza kuwa idara ya shirkisho ipo tayari  katika hali ya mauamuzi ya nchi kurudisha harkati ya kimchezo na tuna vyombo ili kurudisha mazoezi ya timu ya kitaifa ya kwanza kwa wanaume  hatua kwa hatua kujiandaa kwa michuano ya dunia .


Kuhusu maandalizi kwa kombe la dunia ,aliashiria kuwa maandalizi yanafanywa kwa kiwango cha juu  zaidi kutoka vyombo na ulimwengu utashuhudia uzuri wa Misri katika kuandaa michuano ile kwenye aradhi ya nchi yetu mpendwa .


Alisistiza kuwa kuna ushirkiano mkubwa na msaada mkubwa kutoka Dokta Ashraf Sobhy, waziri wa vijana na michezo kwa shirkisho la kimisri kwa mpira wa mikono katika mafaili yote na maandalizi makubwa ambayo Misri inayoshuhudia kwa tukio hili la kidunia .


Alisema kuwa kuna kumbi tatu zilizofunkiwa zitapokea mechi za michuano ya ulimwengu pamoja na kumbi kuu inayofanikiwa kwa mkusanyko wa kumbi kwa uwanja wa Kairo na kumbi inayofanikiwa kwa mji wa kiidara na kumbi inayofanikiwa katika mji wa Arab mjini Aleskandaria na uwanja wa shirkisho la kimisri kwa mpira wa mikono katika mji wa 6 Oktoba ni tukio kuu la kimchezo  wana wa mpira wa mikono wa wote kimisri watalijivunia .


Safa alisema kuwa idara ya shirkisho la kimisri kwa mpira wa mikono inajiandaa kwa nguvu kwa tukio la kimichezo na kidunia kwa ajili ya kulitokea kwa umbo zuri kwa jina na nafasi ya Misri  inayotafutia kuvutia na kushangaza ulimwengu kwa Umbo jipya linalofaa nafasi ya Misri , Mama wa dunia mwenye mwaka elfu saba kutoka ustaarabu .


Kuhusu Kura ya kombe la dunia ,Safa alisistiza maendeleo ya  kujiandaa kwake  na pengine itafanyawa mwezi wa Septemba au Oktoba na kwa kiasi kikubwa itafanyawa katika Makumbusho ya ustaarabu wa kiisalamu .


Inapaswa kuashiria  kuwa waziri wa vijana na michezo Dokta Ashraf Sobhy na mwenyekiti wa shirkisho la kitaifa Dokta Hassan Mustafa na Mhandisi Hesham Nasr, mwenyekiti wa shirkisho la kimisri walitembelea  ili kutafuta mahali ya kura siku ya Alhamisi iliyopita .

Comments