Shirikisho la kimataifa la mweleka limetangaza kwamba Misri itaandaa michuano ya Afrika kwa wavulana, wazee na vijana mnamo mwaka wa 2022.
Shirikisho la kimataifa limekubli ombi la shirikisho la Kimisri la kuandaa michuano, na alikutangaziwa mahali pake mnamo miezi iliyopita kwa sababu ya kuenea kwa virusi vya Corona.
Generali Essam Nawar, Rais wa shirikisho la Kimisri Ia mweleka ameelezea furaha yake kupata Misri kwa uandaaji wa michuano ya Kiafrika.
Shirikisho la Kimisri Ia mweleka, kupitia tovuti yake rasmi limetuma shukurani kwa mashirikisho mawili ya mweleka ya kimataifa na ya Kiafrika juu ya imani yao kubwa katika kukubali uandaaji michuano nchini Misri.
Comments