Kurudi tena shughuli za michezo mwanzoni mwa Julai na mashindano ya mpira mwanzoni mwa Agosti
- 2020-06-18 00:52:17
Mawaziri wawili wa vijana na michezo na vyombo vya habari walifanya mkutano na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Wizara ya nchi kwa vyombo vya habari ili kutangaza tarehe ya kurudi kwa shughuli za michezo mwanzoni mwa Julai ijayo.
Heikal mwanzoni mwa mkutano alionyesha hatua za kamati ya udhabiti mgogoro wa wizara kwa uongozi wa waziri mkuu mnamo wiki zilizopita ili kuangalia mpango wa kila sekta nchini ili kurudisha shughuli zake wakati wa kuongezeka hali ngumu ya kiafya inayokumba Misri na ulimwengu wote katika miezi iliyopita
Na kamati ilijadili jinsi ya kufungua na kushughulikia hali hii na kutoa matukio yote katika nyanja zote pamoja na Wizara ya vijana na michezo .
Heikal alisema kuwa makubaliano yaliyofanywa ndani ya kundi la udhabiti mgogoro wa wizara yalisababisha maamuzi kadhaa yanayolenga kujali na kulinda Afya ya raia , akiashiria kwamba shughuli za michezo , kiuchumi na nyinginezo nchini zinaendelea kadri iwezekanavyo bila ya kuharibisha Afya ya raia .
Aliongeza kwamba mpango wa serikali wa kudhibitisha janga la virusi vya Corona unasifiwa kwa urahisi wa kujirekebisha kikamilifu na unaambatana sana na kuendeleza kwa hali ya kiafya nchini .
Waziri wa vijana na michezo alionyesha utaratibu zilizokubaliwa ndani ya kundi la udhabiti wa mgogoro kwenye baraza la mawaziri ,
Na kupitia maoni ya uongozi wa kisiasa na utekelezaji wa maamuzi ya baraza la mawaziri alifafanua kwamba imeshachukua utaratibu kadhaa miongoni mwao kuanzia mashindano ya michezo baada ya uchanguzi na kuunda kamati ya kifundi na kimatibabu ili kufuatilia hatua za tahadhari zitakazoteklezwa ndani ya vilabu , vituo vya vijana na vinginevyo .
Ambapo itaruhusisha kwa wakuu wa mabaraza ya usimamizi kujiandaa kwa ajili ya kuingiza wafanyikazi , kusafisha na kutakasa mahali pote kuanzia tarehe 15 Juni hadi tarehe 30 Juni 2020 .
Na kwa ushirikiano wa kamati ya olimpiki , kamati ya matibabu na Shirikisho la Soka imeandaliwa mahali mwa kujitenga ndani ya kila klabu pamoja na kuhudhuria mhusika wa matibabu na mhusika wa utunzaji wa Afya kwa kuzingatia hatua zote za tahadhari za kujikinga.
Na waziri wa vijana aliongeza kwamba kamati ya matibabu itafuatilia hali na kiwango cha kujilazimisha sheria na taratibu za tahadhari .
Na vilabu vya Afya vitafunguliwa kuanzia tarehe 1 Julai na ufunguzi kikamilifu 15 Julai 2020.
Na mazoezi ya soka yatarudishwa kuanzia tarehe 20 Juni na mashindano yataanza rasmi 25 Julai .
Michezo yote imeainishwa kupitia kuweka dalili ya kuongoza kwa shughuli za michezo na taratibu za tahadhari zinazopaswa kuchaji kwa ushirikiano wa wizara ya Afya (matibabu ya kujikinga ) na Shirikisho la Afya Duniani kwa ajili ya kutunza Afya ya raia .
Mwishoni mwa mkutano , waziri wa vyombo vya habari alisisitiza kwamba wakati wa kipindi kijacho itachukuliwa hatua nyingine kwa ufunguzi wa hatua kwa hatua kwa baadhi ya shughuli nyingine za michezo
Na kulingana na maendeleo ya Afya itachukuliwa baadhi ya marekebisho , na aliwaomba raia kwa umuhimu wa kufuatilia kwa vigezo na taratibu za tahadhari.
Comments