Tume iandaayo kwa "Mataifa ya Afrika" inatangaza " EGYPT AIR" ni Nukulu rasmi kwa kutangaza michuano

 Jioni ya Jumatano kwa tarehe ya 29 Mei Tume iandaayo michuano ya mataifa ya kiafrika imetangaza kwamba kampeni ya kitaifa" EGYPT AIR" ni Nukulu rasmi kwa kutangaza michuano inayofanyika hapa mjini Kairo mnamo kipindi cha 21 Juni hadi 19 Julai ujao, kwa ushirikiano wa timu 24 kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano.

 Sherehe ya tangazo hilo imehudhuriwa na Dokta Ashraf Sobhy "Waziri wa vijana na michezo ", na wakilishi wa shirikisho la Soka (KAF).

  Wizara ya Anga wa kiraia ulitia uangalifu mkubwa kwa tokeo hilo, na unatoa misaada yote ya kibinadamu na kiufundi ili kufanyika michuano ya kiafrika kwa picha adhimu inayofaa kwa sura ya Misri na uwezo wake wa uandaaji kwa kukaribisha michuano mikubwa zaidi ya kimataifa na kikanda.

  Na uwanja wa Kairo wa kimataifa uliainisha Ukumbi mwenye namba ya 4 unaozingatia kwa Safari khasa, ili kupokea wajumbe wa timu zinazoshirikiana katika michuano, ambapo klabu ya "Iro Sport"inayohusiana na Wizara ya Anga, ilishuhudia maandalizi khasa kwa kupokea wageni wa kombe la mataifa ya kiafrika, ambapo ile klabu ikiamua kukaribisha mafunzo ya klabu ya timu ya kusini mwa Afrika, inayoshiriki katika michuano miongoni mwa mashindano ya kundi la nne.

Comments