Bunge la kiafrika linasifu "Wizara ya Al-Awqaf ya Kimisri "kwa kutangaza hotuba za Ijumaa kwa lugha saba za nchi za bara la Afrika

Bunge la kiafrika kwa uongozi wa mheshimiwa "Roger Dundang", Rais wa Bunge la kiafrika liliwasalimu na kumthamini Waziri wa Al-Awqaf, Dkt. Mohamed Mokhtar Jumaa, kwa umuhimu  mkubwa  kutoka Misri na Wizara ya Al-Awqaf ya Kimisri ya kina cha Kiafrika na upanuzi wa huduma katika kutafsiri hotuba za Ijumaa zinazoelekea  bara la Afrika kwa lugha saba nazo ni :  kiarabu, Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Kihausa, Kiamhari na Kisomali, pamoja na lugha ya ishara , Hii ilitangazwa na Mbunge Mustafa El-Gendi, raisi wa mkusanyiko wa Bunge la Afrika Kaskazini na mshauri wa kisiasa kwa raisi wa Bunge la kiafrika.

 

 

Akisisitiza kwamba kuna umuhimu mkubwa na isiyokuwa ya kawaida wakati wa muhula muhimu hii katika historia ya bara jeusi , hasa baada ya urais wa Rais Abdel-Fattah Sisi kwa Umoja wa kiafrika,  basi nchi za kiafrika zinangoja ushirikiano mkubwa kati ya Misri na nchi zote za kiafrika.

Bw. Mustafa El-Gendi akasisitiza kuna imani kubwa na bila ya mipaka kutoka watu wote wa kiafrika katika  wataalamu maarufu wa Misri miongoni mwa wana fikihi , wanchuoni , profesa, wahubiri, imamu wa Al-Azhar na Wizara ya Al-Awqaf, Akimwomba Mheshimiwa Waziri wa Al-awqaf, Dkt. Mohamed Mokhtar Jumaa, kupanua uanzishaji wa vituo vya Kiislamu vinavyohusishwa kwa Wizara ya Al-awqaf kwenye  nchi mbalimbali za bara jeusi , Hasa ndani ya Bunge la kiafrika daima tunaona wabunge wote wa nchi za bara jeusi  wanaomba pendekezo hili , Wanasisitiza kwamba serikali za nchi zao zimeandaliwa kikamilifu kutoa vifaa na taasisi na rasilimali zote kwa ajili ya kuanzishwa kwa vituo hivyo, ili kueneza mawazo mema ya Dini  bora ya Kiislamu na kukabiliana na mawazo wa kigaidi na mawazo ya Upatanisho amabyo hutolewa na makundi ya ghasia na ugaidi ili kuhatibu akili za vijana wa kiafrika.

Comments