Waziri wa michezo ashiriki katika mkutano wa kwanza wa kimataifa wa dijiti kwa mashirika yanayofanya kazi katika uwekezaji na uuzaji wa michezo

Dokta Ashraf Sobhy  waziri wa vijana na michezo alishirki katika mkutano wa kimataifa wa kwanza kwa uuzaji wa uwekzaji katika kiwanda cha michezo chini ya changamoto za virusi vipya vya Corona mnamo Alhamisi Julai 9, mkutano huo unaandaliwa  na shirkisho la kiarabu kwa uwekzaji na uuzaji wa kimchezo mnamo saa tatu jioni ,kiasi kwamba mkutano unafanyawa chini ya uongozi waziri wa vijana na michezo .



Mkutano huo ulishirikishwa na idadi ya wizara zinazohusiana kwa suala la kimchezo ikiwemo wizara ya kimchezo ya kihispania ,baraza la ElShareka ya kimchezo kwa nchi ya falme za kiarabu ,chuo cha kimataifa kwa idara ya kimchezo nchini Uholanzi kinachohusika katika kuboresha  michezo ,kundi cha wataalam wa kiuchumi wanaohusika katika uwanja wa kimchezo kutoka nchi za kiarabu ,kiafrika na kiulaya ,wataalam wa uuzaji katika klabu mashauri zaidi za Ulaya na Marekani ya kilatini ,pamoja na ushiriki wa kundi kutoka vyombo vya kiuchumi.



Wizara ya kimisri ya vijana na michezo  kupitia mkutano inaonesha  nafasi zake za kiuwekzaji katika majengo yake ya vijana na kimchezo .



Inapaswa kutaja kuwa mkutano utafanyawa kwa vikao viwili  ambapo wasemaji zaidi ya 24 wanavishirikia ,pia vikao viwili vinajumuisha mtazamo wa baadaye kwa kiwanda cha kimchezo , mikataba ya utunzaji,zamu ya kuboresha kwa majengo ya kimchezo na mahusiano yake kwa uwekezaji wa kimchezo , utalii wa kimchezo ,athari za kiuchumi juu ya mashirkisho na klabu za kimchezo ,kuboresha klabu za kiafrika ,zamu ya wizara za kimchezo na serkali katika kuhamaisha michezo ,hii wakati wa mgogro wa dunia wa virusi vipya vya Corona .



Wizara ya vijana na michezo ilitangaza kuwa inawezekana kwa wote wanaohusika  suala la kimchezo kufuata shughuli za mkutano kupitia linki hii .

Comments