Rasmi ...kuahirisha olimpiki ya vijana huko Sengel kwa mwaka 2026

Thomas Bach wa Ujerumani, Mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya kiolompiki, siku ya jumatano , alitangaza kuahirisha uzinduzi wa kikao cha michezo ya kiolimpiki kwa vijana ,kwa miaka 4 ,ili kufanyawa katika mwaka wa 2026 ,badala ya mwaka wa 2022 katika mji mkuu wa Sengel , Dakr ,kiasi kwamba kikao cha michezo ya kiolimpiki kwa vijana kimesaidia Sengel ili kuwa nchi ya kwanza ya kiafrika inakarbisha kikao cha michezo ya kiolimpiki katika historia  .


Uamuzi huu unakuja ili kupunguza shinkizo juu ya kamati za kitaifa za kiolimpiki na mashirkisho ya kimchezo katika kuahirisha olimpiki ya Tokyo  itakayofanyawa katika majira ya joto ya mwaka ujao badala ya mwaka huu kwa sababu ya mlipuko wa virusi vipya vya Corona .


 kwa wandishi wa habari katika mkutano kupitia  mikutano ya video, Bakh alisema kuwa uamuzi ulichukuliwa kwa njia ya pamoja baada ya mazungumzo ya simu na Rais wa Senegal Maki Sal juzi siku ya jumatatu ,kwa kuahirisha olimpiki ya vijana kwa  miaka 4 badala ya kuifanyawa mwaka wa 2022 ,ili kupatikana nafasi kubwa zaidi ili iko tayari na kufanya mpango kwa kikao cha michezo ya kiolimpiki kwa wakubwa mjini Tokyo ya Japani .



Kikao cha michezo ya kiolimpiki kwa vijana kilifanyawa katika toleo lake lililopita mjini Beons Eers wa Arajentina ,Misri ilipata medali 3 za kidhahabu  ,medali mbili za kifedha ,medali 7 za kibronzi ,ili kuchukua nafasi ya ishirni na tatu katika jadwali ya nchi .


Kamati ya kitaifa ya kiolimpiki imeshatangaza kuahirisha kikao cha michezo ya kiolimpiki mjini Tokyo ambayo imeamuliwa kufanyawa mwaka huu ,ili kufanyawa mwaka ujao ,kwa sababu ya mlipuko wa virusi vipya vya Corona .

Comments