Ni uwanja mwenye matumizi mbali mbali, amabao uko mjini
Alexandria katika Mtaa wa
Muharam Bik nchini
Misri, lakini hivi sasa
unatumiwa katika mechi za mpira
wa miguu. Uwanja
huu ni uwanja
rasmi wa Timu
ya Al-Itihad, Timu ya
Al-Olimb i na Timu ya
Sumuha.
Uwanja wa Alexandria
ni uwanja wa
zamani sana nchini
Misri na katika
Afrika, licha ya kuwa
ni uwanja wa
kwanza katika Ulemwengu
wa Kiarabu kutumia
taa.
Uwanja huo ulijengwa
mwaka 1929, ambapo
ulikuw na upana
wa kukaliwa na mashabiki
13660, lakini baada
ya marekebisho ukawa
na uwezo wa
kukaliwa na mashabiki 20000.
Uwanja huo umefunguliwa
mnamo 17 Novemba
1929, wakati huu uliitwa
Uwanja wa Fuaad
Al-Awal. Mfalme Fuaad
Al-awal amehudhuria ufunguzi wake
kupitia mechi iliyofanyika
kati ya Timu
ya Al-Itihad na Timu ya Cairo.
Baada ya Mapinduzi ya Julai 1952, limebadilika jina la
uwanja na likawa Uwanja wa Al-Baladia,
kisha limebadilika na
likawa Uwanja wa Alexandria (jina
la hivi sasa ).
Ulipoanzishwa ramani yake ilikuwa kwa Msanifu ujenzi wa
kirusi Nikosov ambaye amechora ramani
ya uwanja, ramani
yenye kufanana na
nembo za ushindi
za kigiriki kwa
mfumo zamani wa
kirumi, lakini kwa njia
ya kisasa.
Vile vile alichunga kuwa ramani ya uwanja kukusanya baadhi
ya sehemu za kuta za mji wa zamani wa kiislamu Alexandria.
Uwanja huo umesharekebishwa mwaka 1996 kabla
ya Michuano ya
Kombe la Dunia
kwa Vijana, ambapo zimefanyika
huko baadhi ya
mechi za michuano
hiyo.
Pia umerekebishwa kabla ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya
Kiafrika mwaka 2006, ambayo timu ya
Misri ilikuwa bingwa
wa kombe hilo.
Vile vile
umesharekebishwa kabla ya
ufunguzi wa Michuano
ya Klabu Bingwa
za Kiarabu, michuano
iliyofanyika nchini Misri
kwenye miji miwili
nayo ni ; Alexandria na
kairo.
Comments