Basma Sobhy msichana mmisri wa kwanza atunga vitabu vya kimichezo

Basma Sobhy mwenye mikaa 29 amezaliwa  mjini Kairo ,alimaliza masomo ya Kitivo cha sheria, chuo kikuu cha Kairo 2012 ,na vitu muhimu zaidi anayevipenda ni kusoma hasa vitabu vya kihistoria  vinavyosimulia ustaraabu wa Mafarao na wafalme wake ,kisa chake kilianza na uandishi mwaka wa 2010 ,kupitia Gazeti  la Neno letu  " klmatena "  kiasi kwamba alifanya kazi  kwa muda wa miaka 5 katika sehemu ya kimichezo katika Gazeti na alifanya kazi katika tovuti nyingi za kielektroniki kama mhariri wa habari za kimichezo .

Makala zake nyingi sana  zilichapishwa katika tovouti ya Gazeti la Al-watan ya kielektroniki ,Gazeti la Al_tahrir - wek end , tovauti ya Btota , tovauti ya Kioo  "Mraah" , programu ya simu ya  Obar News , na kartasi ya Khamsa Plus Hagat  kwenye tovuti ya facebook.


Basma anazingatiwa msichana mmisri wa kwanza anayeandika vitabu vya kimichezo ,kitabu chake cha kwanza kilitolewa katika mwaka 2014 ,kilikuwa kwa anwani  ya vituo vya kimichezo ,na baadaye  vitabu vitatu vingine vimetolewa navyo ni Remontada mwaka wa 2018 ,hadithi za Al -Ahly mwaka wa 2019 ,na siri ya Al-Ahly mwaka wa 2020 .


Basma anafanya kazi hivi sasa katika sehemu ya kimichezo katika tovuti ya kipindi cha El_Meaden cha Lebanon ,na ana kartasi ya kimichezo kwenye tovuti ya mtandao wa kijamii facebook kwa jina la (vituo vya kimichezo ) na idadi ya wafuasi imefikia elfu 90 .


Comments