Waziri wa michezo asifu kambi la timu ya sarakasi katika kituo cha kiolompiki

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alitia maanani kwa ziara ya kambi la timu ya sarakasi  kwa wanaume na wanawake ,inafanyawa sasa hivi katika kituo cha kiolompiki huko eneo la Elmaadi.


Pia Dokta Tarek Rahmy Gavana wa El-Gharbia , Meja jenerali Hesham Amnh Gavana wa El-Behera  waliambatana Waziri kupitia ziara yake kwa kambi la timu ya sarakasi ,pia Dokta Ehab Amen  Mwenyekiti wa baraza la kiadara ya shirkisho lasarakasi  na mjumbe wa kamati ya kiolompiki walikuwa wakiwapokea .


Waziri wakati wa ziara yake alisifu  maandalizi ya timu ya sarakasi kwa ushiriki katika michuano ya kibara na kimtaifa ,pia kulazima kwa shirkisho kwa kufanya hatua zote za kitahadhari na hatua za kinga katika kambi na mazoezi .


Kwa upande wake ,Dokta Ehab Amen, Mwenyekiti wa shirkisho la sarakasi ,alisistiza kuwa maandalizi ya timu yanaendelea kwa umakini ,na hatua zote za kitahadhari zilizotolewa kwa protokoli ya Wizara na vijana na michezo na zitatekelezwa kwa njia kamili ,na lengo muhimu zaidi ni afya na usalama wa wachezaji na watu wote wa shirika .



Timu ya sarakasi ya wanaume na wanawake inaingia kambi inayofunga katika kituo cha kiolompiki ili iko tayari kwa ushiriki katika michuano inayofikisha Olimpiki ya Tokyo  2021 nchini Japan .

Comments