Baada ya kusifu Umoja wa kiafrika kwa Udhamini wa kiongozi Gamal Abd Elnasser, "Wizara ya vijana na michezo inatangaza takwimu zinazohusu Udhamini.

Wizara ya vijana na michezo (Ofisi ya vijana waafrika, idara kuu ya Bunge, na Elimu ya kiraia) imetangaza takwimu zinazohusu wanaotangulia kwa Udhamini wa "Nasser kwa uongozi wa kiafrika "- unaotolewa kwa Wizara, na hayo mnamo kipindi cha (8 hadi 22 Juni 2019) mjini Kairo.

 

Na Wizara imesisitiza kwamba Udhamini ulishuhudia ujio mkubwa toka vijana wa nchi za bara la kiafrika mnamo siku za kusajili kupitia fomu ya kielektroniki ; ambapo idadi ya wanaotangulia ilifikia makada wa vijana 100 hivi, wanaowakilisha nchi za kiafrika 51 , na wastani ya umri ya idadi ya wanaotangulia kwa Udhamini inafikia kwa miaka 28; miongoni mwao makada vijana 782 katika umri ya 21 hadi 35, pia kuna makada vijana 16 umri yao unapunguza kwa miaka 21,na vijana 53 umri yao unaongeza zaidi ya miaka 35,na -kwa uangalifu mkubwa- kuwachagua makada vijana 100 wenye ufanisi zaidi toka nchi tofauti za kiafrika miongoni mwa waliotangulia.

 

Udhamini wa "Nasser kwa uongozi wa kiafrika " unalenga kwa kuhamisha jaribio kale la kimisri la kujenga taasisi za kitaifa, na kuunda kizazi kipya toka makada vijana waafrika wa kimageuzi wenye mitazamo inayosawazisha pamoja na mielekeo ya urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika, mielekeo yenye imani ya kuhudumia malengo ya umoja wa kiafrika kupitia ukamilifu ;pamoja na kuunda mkusanyiko wa makada vijana waafrika wenye athari kubwa zaidi barani kwa mafunzo, uzoefu unaolazimishwa na mitazamo ya kimikakati.

 

Na Udhamini ulifanya tija kubwa sana kwa vyombo vya habari vya kienyeji na kimataifa, rasmi na visivyo rasmi kwa lugha ya kiarabu na lugha za kizungu; ambapo vyombo vya habari vya kitaifa 90 vilifunika habari za Udhamini, sawa ni kwa lugha ya kiarabu au lugha za kizungu, pia taasisi 22 za kimataifa zilieneza habari za Udhamini, pia taasisi kadhaa za kimisri zilieneza habari za Udhamini kupitia tovuti zake katika FaceBook kupitia (ukurasa rasmi wa Wizara ya mambo ya nje ya kimisri - ubalozi wa Misri nchini Ethiopia na umoja wa kiafrika - ubalozi wa Jamhuri ya Misri ya kiarabu katika Serbia - Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika.)

 

Na Udhamini wa Nasser ulipata sifa nzuri sana toka wahusika kadhaa, ambapo balozi mmisri nchini Ethiopia "Osama Abd Elkhalek "alisifu Udhamini ; akiuzingatia kama chombo kimoja cha vyombo vya kusaidia na kuwawezesha vijana waafrika. Na hayo yote mnamo kukaribisha kwake kwa mratibu mkuu wa ofisi ya vijana waafrika "Hassan Ghazali" kulingana na mkutano wa kiafrika kwa vijana - unaofanyika mnamo kipindi cha 24 hadi 26 Aprili 2019- chini ya uangalifu wa Umoja wa kiafrika mjini mkuu wa Ethiopia Adis Ababa.

 

Na kupitia mkutano wa bwana "Ghazali" pamoja na rais wa kameshina ya Sayansi, Teknolojia, na Vyanzo vya Binadamu kwenye Umoja wa kiafrika Profesa "Sara Agbur" katika Adis Ababa, yeye alisifu Udhamini wa Nasser kwa Uongozi akiuzingatia jukwaa linalohudumia mpango wa (vijana milioni moja kwa kufikia mwaka wa 2021) uliotolewa kwa ajili ya kuwawezesha na kuwaboresha vijana barani Afrika kupitia kuwezesha vijana waafrika milioni moja katika nyanja za Elimu, Ajira, Rasilimali za kazi, na ushirikiano kwa kufikia mwaka wa 2021,na hayo ni lengo la Udhamini wa Nasser katika sekta ya Elimu, pia alikaribisha kwa malengo yake yanayowafikiana na malengo ya Ajenda ya Afrika 2063.

Comments