Waziri wa vijana na michezo ahudhuria mkutano wa kiuratibu kwa tamasha la "Wahshtona" kwa walemavu
- 2020-08-11 12:57:29
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alihudhuria mkutano wa kiuratibu ili kufanya tamasha la "Wahshtona" kwa walemavu ambayo imeamuliwa kufanyikwa mnamo Oktoba ijayo .
Sobhy alielezea furaha yake kwa kufanyika Sherehe ,akieleza kuahrisha tamasha wana wetu ambayo imeamuliwa kufanyiwa mnamo Machi iliyopita kwa sababu ya mlipuko wa virusi vya Corona na kuhifadhi afya ya wana wetu kutoka walemavu , na imepangwa kufanyikwa mnamo Oktoba ijayo .
Akiongeza kuwa lengo la sherehe ni kwa ajili ya kuhamsisha jukumu ya wana wetu katika kuenea roho ya furaha na uzuri baada ya kurudisha shughuli tofauti nchini baada ya Janga la virusi vipya vya Corona,na kuenea utalii na utamaduni kwa Misri kwa kurudisha maisha kwa asili yake ili kuhamsisha wageni kutoka nchi za kiarabu na kigeni .
Imeamuliwa kufanya ziara nyingi katika miji kwa mahali panapopendekzwa kwa sababu ya kufanya sherehe katika miji kiasi kwamba mji wa vijana na kimchezo katika mji mpya wa uongozi ,mji wa kimchezo mjini Asmarat ,unajumuisha klabu mjini sita Oktoba ,na kituo cha vijana cha Al-Jazera mtani zamalek.
Mpango unajumuisha sehemu ya wimbo kwa watu wetu kwa ushiriki msanii mkubwa Anoshka _utungaji wa mshairi Amir Taema ,sehemu ya wimbo kwa watu wetu kwa ushiriki wa timu ya ( Black Theama ) ,sehemu za timu za kimsri ,na inaingia katika sehemu hizi maonesho ,pia sherehe inajumuisha kuheshima kwa wasanii ambao wana mchango mkubwa katika kuhamsisha wana wetu na kuwatoa kwa sura nzuri kwa jamii .
Bibi Nagwa Salah, Mwakilishi wa wizara na mwenyekiti wa idara kuu kwa mipango ya kutolea ,Bibi Sohair Abd El-kadr, Mkurgunzi wa tamasha la wana wetu wenye ulemavu ,Dokta Ashraf Rada , Mwakilishi wa kitivo cha Sanaa za ufundi , Msanii Mahmoud Kabil , Msanii Rania Fared Shwaky ,mzalishaji Hesham Selim ,Dokta Youssef Al-wrdani, Msaidizi wa waziri kwa kujenga wezo ,na Bwana Mohamed Hasaan, Msaidizi wa waziri kwa kujenga wezo za vijana, wote wamehudhuria sherehe hiyo .
Comments