Dokta Ashraf Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo , alifanya kikao pamoja na kamati kuu ili kugundua na kuangalia wenye vipaji , kwa ushiriki wa wakilishi wa wizara za elimu , elimu ya juu , mawasiliano , utamaduni , maendeleo ya ndani na vyombo vya habari, Mwakilishi wa kituo cha taarifa na kukuza kuchukua maamuzi , na japo la viongozi wa Wizara ya Vijana na Michezo .
Mkutano huo ulikuwa pamoja na kuonesha mpango wa kutekeleza miradi iliyotolewa kwenye Ajenda ya kamati kuu kutoka kwa ushirikiano na mashikamano pamoja na wizara nyingi maalumu , hiyo ilikuwa maelekezo kutoka urais wa baraza la mawaziri kwa wizara ya vijana na michezo kufanya kazi katika mradi wa kitaifa ili kugundua na kuangalia wenye vipaji kwa ushirikiano na utaratibu mzima baina ya wizara na taasisi husika , pamoja na dharura ya kuchukua hatua za vitendo kueneza na kupakua kwa kijiografia katika nyanja za kutekeleza mradi kulingana na ratiba ya wakati itaandikwa baadaye .
Kikao kilikuwa na mpango wa kazi unaowekwa katika awamu ijayo kugundua na kuangalia wenye vipaji na kuendeleza kwake kwa ajili ya kufikia idadi kubwa zaidi ya vijana na kugundua vipaji vyao katika nyanja kadhaa , vilevile juhudi zinazofanywa na kamati kuu ili kufikia mtazamo na mradi kamili .
Waziri wa Michezo alisisitiza kujali kutoka kwa uongozi wa kisiasa kugundua wenye vipaji katika nyanja mbalimbali na kutumia vizuri nguvu yao na kuiendeleza , akielezea kuwa itatengenezwa fomu ya taarifa kwa wale wenye vipaji na kuizindua kupitia jukwaa la dijiti katika nyanja zote .
Comments